TANZIA: Padre Afariki Dunia Zanzibar

semtema

Member
Oct 19, 2012
52
13
Padri anaetambulika kwa jina la PETER MINJA amefariki dunia jana kwa matatizo ya presha ya mda mrefu na kupelekea damu kuganda katika mzunguko wake wa ubongo. imeelezwa kua hakuna uhusiano wowote wa tukio la juzi la risasi na kifo cha Padre Peter Minja.

Ibaada ya mazishi itafanyika kesho katika kanisa la parokia ya Mpendae saa nne asubuhi na kuzikwa Kitope.

Bana Ametoa na Bwana ametwaa, Jina la Bwana Lihimidiwe. AMEN
 
RIP Fr. Minja...Ni msaidizi wa aliyepigwa Risasi Fr. Mkenda...Poleni sana wana Mpendae kwa wakati mgumu mnaokabiliana nao.
 
Padri anaetambulika kwa jina la PETER MINJA amefariki dunia jana kwa matatizo ya presha ya mda mrefu na kupelekea damu kuganda katika mzunguko wake wa ubongo. imeelezwa kua hakuna uhusiano wowote wa tukio la juzi la risasi na kifo cha Padre Peter Minja.

Ibaada ya mazishi itafanyika kesho katika kanisa la parokia ya mpendae saa nne asubuhi na kuzikwa Kitope.

Bana Ametoa na Bwana ametwaa, Jina la Bwana Lihimidiwe. AMEN

source ya habari yako ni ipi?! anyways, RIP
 
Mwanga wa milele umuangazie eeh bwana apumzike kwa Amani.
Pole waumini wote ,ndugu jamaa na marafiki
 
Mi nilizani yule aliyepigwa risasi au wameua mwingine.Anyway iswe tabu R.I.P father
 
semtema hatuwezi kusema hakuna uhusiano wowote wa tukio la juzi la risasi na kifo cha Peter Minja kwani kwa vyovyote ni lazima alishtuka.

Padri anaetambulika kwa jina la PETER MINJA amefariki dunia jana kwa matatizo ya presha ya mda mrefu na kupelekea damu kuganda katika mzunguko wake wa ubongo. imeelezwa kua hakuna uhusiano wowote wa tukio la juzi la risasi na kifo cha Padre Peter Minja.

Ibaada ya mazishi itafanyika kesho katika kanisa la parokia ya mpendae saa nne asubuhi na kuzikwa Kitope.

Bana Ametoa na Bwana ametwaa, Jina la Bwana Lihimidiwe. AMEN
 
Last edited by a moderator:
Mgonjwa wa shinikizo la damu kwa muda mrefu halafu unaambiwa mwenzako kapigwa risasi kwa nini usishtuke mpaka kifo? Kwa hali yoyote hicho kifo kinahusiana na tukio la mwenzie kupigwa risasi. R.I.P Fr. Minja. Poleni waumini.
 
Back
Top Bottom