TANZIA: Mzee Emanuel Makaidi, Mwenyekiti mwenza wa UKAWA afariki dunia

Dr Emmanuel Makaidi, mwenyekiti mwenza wa UKAWA na mwenyekiti wa NLD amefariki dunia.

Source: Radio Saut fm
 
Mwenyekiti mwenza wa UKAWA na chama cha NLD Mzee Emanuel Makaidi amefariki dunia katika Hospitali ya Nyangao Huko Lindi.

RIP EMANUEL MAKAIDI MWENYEKITI WA UKAWA NA NLD.

Makaidi.jpg


=======
UPDATES:

- JamiiForums imethibitisha kutokea kwa msiba huu baada ya kuongea na familia ya marehemu

Rest in Peace our comrade it is a big loss for us "UKAWA" and Simba Sports Club fans.
 
Bado kuna viongozi wengine watakufa subiri huu uchaguzi nyie acheni unahitaji makafara sana kupata uongozi si kazi ndogo kirahisi.
 
Hii habari nimeiona Twitter ikabidi nije fasta pande hz, kumbe kweli........R.I.P Dr Makaidi.
 
R.I.P mzee,, umeondoka kabla hujaona wanyang'anyi CCM wakiondoka madarakani
 
Back
Top Bottom