TANZIA: Mzee Emanuel Makaidi, Mwenyekiti mwenza wa UKAWA afariki dunia

Nimetumiwa hii kama si kweli plz mods muiondoe
 

Attachments

  • 1444913882287.jpg
    1444913882287.jpg
    54.3 KB · Views: 2,334
This is shocking now, what is happening behind the scene?
 
Pumzika kwa Aman Mzee! Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi...
 
RIP Mzee Makaidi.

Naanza kuamini usemi wa wazee kuwa jambo kubwa sana lisilo la kawaida linapotaka kutokea basi hutanguliwa na misiba ya ajabu ajabu na matukio yasiyo ya kawaida. Hilo hutokea kama kuwaweka watu tayari kifikra kabla ya jambo hilo kubwa ambalo sio la kawaida kutokea.

Jee ni jambo gani hilo? Hakuna ajuaye,ila pengine tarehe 25/october panaweza kutokea maamuzi ambayo hayajawahi kutokea nchi hii na kuleta mshtuko mkubwa kwa wakubwa.
 
R.i.p mpambanaji wa ukweli,tutakutana huko maana hii safari haikwepeki ni muda tu na saa ndo tunatofautiana
 
R.I.P pumzika kwa amani kamanda nitakukumbuka kwa maneno yako ya kuwa ujawahi kuwa ccm maisha yako yote kamanda
 
Jamani kuna nini mwaka huu wabunge na watu wengi ndani ya siasa wana Rip.....
Munge amlaze pema
 
Back
Top Bottom