TANZIA: Mwenzetu NJEE amefariki dunia Leo Alfajiri

Status
Not open for further replies.
huhitaji kummention tena, kwani hatapata alert.
Ni habari chungu sana kwa kweli, ukizingatia nimepata habari nyingine mbaya ya aliyekuwa mlinzi wetu just now now.

Pole sana. Kifo ni mtihani na fumbo kubwa,na kuna wakati unajiuliza kwa nini yeye?
 
R. I. P Njee
Mungu akurehemu na awape amani familia na marafk pa1 na wa jf woote!
 
Last edited by a moderator:
[h=5]Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu. Yeye huchanua kama vile ua, kisha hukatwa; Hukimbia kama vile kivuli, wala hakai kamwe. AYUBU 14: 1 - 2[/h]
..............................
Lala salama NJEE.
 
mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi, mungu alitoa na mungu amtwaa, na astarehe kwa amani. amen
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom