Innobwoy
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 979
- 532
Hatari sanaUzungu huu.
Ona sasa wanaume wenyewe wachache tena wanaondoka.
Pumzika kwa amani mhandisi.
Hatari sanaUzungu huu.
Ona sasa wanaume wenyewe wachache tena wanaondoka.
Pumzika kwa amani mhandisi.
With deep sorrow, I wish to inform you that Eng. Suleiman Said Suleiman, the DG TAA, passed away yesterday.
Information received from staff of TAA at TB1 confirms that Eng. Suleiman drowned as he was swimming in the Indian Ocean behind the State House. The information further says that onlookers who saw him drowning, rushed to rescue him but he had taken too much salt water!
May His Soul Rest in Eternal Peace. AMEN
Usichanganye ATC, TAA pengine na TCAA. Hata kama angekuwa ATC, huwezi ukawa unawaza muda wote kuhusu ukame wa ndege za serikaliyaani anaogelea badala ya kuwaza ni kwa jinsi gani atuondolee aibu ya shirika la taifa kuwa na ndege moja huku wafanyakazi wakiwa 400?
Tumsamehe bure! Nilimsoma nikabaki kuomuombea tu maana hajui asemalohausiki na ndege yeye anahusika na viwanja.
sawa kijana ? uwe unaelewa majukumu na mgawanyo wa kazi.
Mkuu asante kuuliza maana nilikuwa naendelea kusoma kutegemea kupata ufafanuzi zaidi. All in all, inasikitisha sana, Mungu ampumzishe mahala pema na aipe familia yake farajaPoleni sana wafiwa. Mungu awape wepesi katika huu msiba wa kuondokewa na muhimili muhimu. Marehem alikuwa mcheshi sana na niliwahi kuonana naye kikazi.
Swali: hivi mdau, pale Ikulu wanaruhusu watu kupiga mbivu? pili, kiafya ni salama kweli? ref. bomba la maji taka.
Walahi nimejikuta nacheka kwa sauti. Naomba kuungana nawe katika kusikitikia idadi ya wanaume kupunguaUzungu huu.
Ona sasa wanaume wenyewe wachache tena wanaondoka.
Pumzika kwa amani mhandisi.
Yah i see, niliiona ile documentary!Huyu jamaa alifanya documentary na mwandishi wa tbc juzi juzi , alikuwa anajisifia sana namna alivyoboresha viwanja vya ndege tz. RIP
With deep sorrow, I wish to inform you that Eng. Suleiman Said Suleiman, the DG TAA, passed away yesterday.
Information received from staff of TAA at TB1 confirms that Eng. Suleiman drowned as he was swimming in the Indian Ocean behind the State House. The information further says that onlookers who saw him drowning, rushed to rescue him but he had taken too much salt water!
May His Soul Rest in Eternal Peace. AMEN
Duuh niliwahi onana nae 2012 na tulisafiri nae toka mbeya mpaka dar na coastal aviation, Jamaa mcheshi sana kweli nimeamini dunia tunapita RIP[/Q
Mwaka 2011 wakati wa zile mvua nyingi nilikutana naye mbeya pale kwenye kiwanja chao cha ndege (MAFIAT), kwa umri wangu na majukumu yangu sikuamin kama angenikorogea chai na kunikaribisha vizuri ofisini kwake.
R.I.P Brother!
alikua anafanya mazoezi ya kuogelea umeambiwa, labda pumzi imekata au alikua na matatizo ya moyo
Mkuu na mimi niliiangalia yote jamaa alikuwa na confidence sana kuelezea mafanikio waliyofikia na matarajio yao baada ya terminal 3 kuanza kaziHuyu jamaa alifanya documentary na mwandishi wa tbc juzi juzi , alikuwa anajisifia sana namna alivyoboresha viwanja vya ndege tz. RIP
May His Soul Rest In Peace.
- Was it a muscle pull that made him unable to swim thus drowning?
- or was he attacked by an object or an marine animal or mammal?
.