Tanzia: Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Karagwe afariki dunia

Mkono

JF-Expert Member
May 7, 2010
568
89
attachment.php

Katibu wa CHADEMA wilaya ya Karagwe kamanda Geophrey Nguma amefariki usiku wa kuamkia leo jijini Mwanza alikopelekwa kwa matibabu ya figo.

Source: Mwenyekiti Baraza la wazee Karagwe mzee PERES.

Awali iliwekwa thread hapa JF, https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-katibu-wa-chadema-karagwe-yuko-mahututi.html

R.I.P kamanda
 
Attachments

  • kamanda.jpg
    kamanda.jpg
    45.4 KB · Views: 95
Rest in peace kamanda. Mchango wako tutaukumbuka daima sisi tunaendelea na mapambano.
 
Mzee huyu amekuwa nguzo kubwa ya chama na wengi tutamkumbuka kwa malezi yake na msimamo usio na mawaa.Naamini mbengu ya mabadilikio imepandwa ili itoe mazao mengi, Mungu amurehemu
 
TM ( Tumain Makene) hebu tuweke wazi ktk jambo hili kwani magamba wametuundia vifo bandia mala nyingi kutuchanganya.
Kama ni kweli basi RIP kamanda na juhudi zako tuliziona wakati wa retreat ya karagwe mwishoni mwa mwaka jana.
 
Ni habari ya uhakika mkuu,huyu mzee alizidiwa majuzi aliko kuwa amelazwa Nyakahanga hospital baada ya hali yake kuwa mbaya ndipo akakimbizwa Mwanza baada ys kugundulika figo zake zimeshindwa kufanya kazi na usiku wa kuamkia leo akawa ameaga dunia@Kamanda Hanga
 
KAMANDA HANGA na wakuu wengine JF

Ni kweli kamanda ametutoka usiku wa kuamukia leo akiwa hospitalini Mwanza. Mwenyezi Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya marehemu, amin.

Tunawatakia pole familia ya marehemu, ndugu, jamaa, marafiki, wanaCHADEMA wa Karagwe, Mkoa wa Kagera na wengine wote nchi nzima, katika wakati huu wa majonzi mazito ya kuondokewa na mpendwa wao. Tuwaombee Mwenyezi Mungu awatie nguvu.

Makene
 
Ni habari ya uhakika mkuu,huyu mzee alizidiwa majuzi aliko kuwa amelazwa Nyakahanga hospital baada ya hali yake kuwa mbaya ndipo akakimbizwa Mwanza baada ys kugundulika figo zake zimeshindwa kufanya kazi na usiku wa kuamkia leo akawa ameaga dunia@Kamanda Hanga

Naungana na wote katika kusikitika. Kumbuka sie tulimpenda ila Mungu kampenda zaidi.
Katika kumuenzi mzee huyu, basi kila mtu aahidi kufanya kila liwezekalo kuhakikisha tunalikomboa taifa toka mikononi mwa hawa wakoloni weusi mafisadi, a.k.a magamba.
Mpaka kieleweke makamanda!!!!
 
Back
Top Bottom