myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 150,692
- 667,234
sawa..Alitakiwa amove on na aoe kabisa, wallah leo angekuwa hai, kusema ukweli jinsi mond na zari walivyokuwa wanajianika lazima alikuwa anaumia tu.Sasa yeye yupo peke yake ,alitakiwa avute mke aweke ndani. Mimi nimejifunza kitu, mwenzako akikuacha na wewe tafuta mtu muwe public mahusiano yenu.