TANZIA: Dada Ennie wa JF apoteza mmewe mpendwa!

Pole sana, dada Ennie. Mungu akakupe moyo wa ujasiri kuweza kulikabili hili. Ni yeye pekee awezaye kukutuliza katika msiba huu.
 
Last edited by a moderator:
May God smother you with all his love.. care and strength in this sad time.. m sorry for your loss but with time and courage you will sail through these rough days Ennie.. May He RIP..
 
Pole sana Ennie ... Mungu akupe nguvu kipindi hiki kigumu
 
Last edited by a moderator:
pole sana dada enn tuliumbwa ili siku moja turejee kwa mola
sote ni wa njia moja kurejea au kuondokewa.mungu akupe moyo wa subra na uvumilivu ususani kwenye kipindi iki kigumu kwako na kwa wafiwa wengine
mungu ailaze salama roho ya marehemu
 
pole sana Ennie MUNGU AKUTIE NGUVNU UPITE KWENYE KIPINDI HIKI KIGUMU SANA!
JIKAZE mamiee!
JIKAZE utazame KWA MUUMBA kwani ndiko msaada wako ulipo!
 
Last edited by a moderator:
Dada Pole sana kwa msiba, Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina la bwana libarikiwe. Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema akutie nguvu katika kipindi hiki ambacho ni kigumu sana kwako mama.Roho Mtakatifu ndiye mfariji wetu siku zote akufariji katika hili, akupe ujasiri - Amen
 
Pole sana Da Ennie, tupo pamoja nawe, ingawa sikufahamu lakini naonja ukubwa wa tatizo liliokukuta.
 
Pole sana Ennie kwa msiba mzito kama huu.

This is the toughest time for you, but jikaze hivyo hivyo.

Mungu amlaze mume wako mpendwa mahali pema peponi.

Amina.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana dada Ennie. Bwana Yesu mume wa wajane, mfariji wa ajabu, na afanyike kuwa faraja ya ajabu kwako.
 
OOh my god very bad news
Pole sana mpendwa Ennie mwenyezi mungu mwingi wa rehema akutie nguvu na ujasiri katika kipindi hiki kigumu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom