salome peter
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 379
- 260
Mwishoni mwa mwaka jana alijitokeza na kusema akipewa nafasi atagimbea tena urais.Mungu ampe pumziko la milele
Huyu namfahamu kitamboMwishoni mwa mwaka jana alijitokeza na kusema akipewa nafasi atagimbea tena urais.Mungu ampe pumziko la milele
RIEP Mpambanaji,Ahsante nyamchele
Somo la historia nalo kumbe ni gumu! Wanne wameshatangulia mbele ya Haki - Mvungi, Mtikila, Makaidi na Mama SenkoroWaliogombeaa 2005 watu watatu wamefariki
Wagombea urais 2005
Aliyekuwa mgombea urais wa kike wa kwanza Tanzania (Uchaguzi 2005) kupitia chama cha APPT-Maendeleo, Dr. Anna Claudia Senkoro ameaga dunia.
Inadaiwa aliugua ghafla usiku wa kuamkia leo na amefariki baada ya kukimbizwa hospitali asubuhi ya leo.
Msiba upo nyumbani kwake, Tabata Segerea jijini Dar.
Taarifa zaidi zitafuatia...
====
Matokeo ya Urais 2005)
Jakaya Kikwete (CCM)
9,123,952
80.28%
Ibrahim Lipumba (CUF)
1,327,125
11.68%
Freeman Mbowe (CHADEMA)
668,756
5.88%
Augustine Mrema (TLP)
84,901
0.75%
Sengondo Mvungi (NCCR-Mageuzi)
55,819
0.49%
Christopher Mtikila (DP)
31,083
0.27%
Emmanuel Makaidi (NLD)
21,574
0.19%
Anna Senkoro (PPT-Maendeleo)
18,783
0.17%
Leonard Shayo (MAKINI)
17,070
0.15%
Paul Kyara (SAU)
16,414
0.14%
Bwana Ametoa Bwana ametwaa
Hivi Mtikila hakugombea mwaka huo ?Shayo, Makaidi, Senkoro na Mvungi! Ni Wanne!