TanzaniteOne yaajiri mtoto wa Kamishna wa Madini

kudadeki, me nilijua una data kamili kumbe maswali ya kipuuzi mtupu umbea na uchonganishi
 
Napenda rejea maneno ya aliyekuwa katibu wa CCM yusuph makamba alipopata nafasi ya kuojiwa na waandishi wa habari kuhusu watoto wa wanasiasa kuwa nao wana siasa.makamba alitoa jibu fupi sana kwamba panya wa kanisani atakula biblia na yule wa msikitini atakula quran,hii inamaanisha nini kama baba yako ni mvuvi na mtoto atakuwa mvuvi.ivi ndo nchi yetu inavoendeshwa sijui lini tunaweza ondokana na huu mfumo wa dhuluma mungu tusaidie.

da! hii imenifurahisha sana
 
kwa wanaomfahamu Gray Mwakalukwa vizuri wanasema hana tabia ya kusaidia ndugu zake wapate kazi, sijui itokee vip kwa huyo mtoto wa kaka yake LUSEKELO. nina uhakika na ninachosema
 
Hayo ni majungu na fitna. Kuna ubaya gan kama ameajiriwa na anasifa. Kwanza huyo mzee wala hayupo wizara ya nishati, alishaondolewa huko zaman tangia enz za che mkapa.
 
Back
Top Bottom