Tanzanian Officials are Airlifted to Kenya for treatment

Hivi yule wa juu kabisa atakubali kwenda kutibiwa kwa mabeberu?
Chezea vyote sio uhai. Halijamkuta huyo. Ikifikia anatapatapa kwa kukosa hewa mwenyewe ataamrisha ndege iwashe aende Uswiss.
Jeuri yote ni kwa vile ana pumua vizuri ndio maana anabwata bwata ovyo.
 
Geza Ulole joto la jiwe wacheni kujifanya kwamba hamjaona habari hii. Malazy bwana eti mnapiga nyungu. Dah! Nyungu itawauwa, it is not a scientific cure for corona. Mpo lazy hata kufikiria kunawashinda. Halafu huyo mtu aliyeforge Phd ya chemistry anawadanganya eti mpige nyungu mtapona. Sasa wakubwa wenu wanaletwa Kenya ili kuokoa maisha yao. CCM is a curse.
Bila kumtetea huyo aliye'forge' PhD na hao wengine unaowaita; nikuulize wewe, huko kwenu watu hawafi kwa corona?
 
Geza Ulole joto la jiwe wacheni kujifanya kwamba hamjaona habari hii. Malazy bwana eti mnapiga nyungu. Dah! Nyungu itawauwa, it is not a scientific cure for corona. Mpo lazy hata kufikiria kunawashinda. Halafu huyo mtu aliyeforge Phd ya chemistry anawadanganya eti mpige nyungu mtapona. Sasa wakubwa wenu wanaletwa Kenya ili kuokoa maisha yao. CCM is a curse.
Huu ujinga wenu pelekeni Kibera, Evacuated to Kenya for what?, Kenya yenyewe inaongoza kwa idadi kubwa ya vifo vya Corona, sasa hao wanaoletwa huko wanakuja ili waongeze idadi ya vifo au wanakuja kufanya nini?. Akili zenu ni finyu miaka yote
 
Halafu unaambiwa ICU zimejaa kumbe zimefurika wageni ilhali wazawa tunajifia, hii sasa imekua biashara maana akija bwenyenye mwenye hela yake kutokea Dar, atapewa mashini bora ashushe hela za kutosha, huku wengine tukiambiwa zimejaa.
Utakuta mpaka wanakuja kutokea Burundi maana na huko pia huwa wanajikweza kwamba hawana corona.
Huo ndio ubepari ulipowafikisha mwenye pesa ndiye mwenye haki ya kuishi, man eat man society
 
Wanakuja kufa tu, Kenya mnaongoza kwa kufa
We accepted that there is covid in Kenya unlike you lazy people who deny and then come to seek treatment in Nairobi Hospital. Hao wameona heri wakwende kids kwenye hospitali bora za Nairobi kuliko kubaki Tanzania ambapo hata oxygen and ventilators haziko.

Tumeuona mkono wake katika mapambano ya covid Tanzania.
Mungu oyeeeee walisema. Ukiona nchi inachanganya siasa na dini ujue mambo yamewashinda. Wanatumia dini ku gain cheap popularity sababu dini ni kitu cha kwanza kuondoa ama kupumbaza akili za mwanadamu. Kama mtu anarubuniwa na kutoa fungu la kumi kwa mtu ambaye hajawahi kumuona ujue kitu chochote atakiamini
 
Kagame alisema kuamini Mungu anaweza kuondoa corona kwa maombi ni kumkejeli.
 
Eti ICU beds and ventilators than patients, yani France, Italy etc, beds na ventilators zao hazitoshei, kunyaland itoshee. Mnakuwaga na ufara next level.
Yes, we have more than 1,000 ICU beds and Ventilators while only 43 beds and 20 ventilators are currently occupied. That leaves a total of 900+ ICU that are empty.

Ujamaa system siku zote huwa laana, watu huwa wameshikiliwa akili na hakuna mwenye uwezo wa kufikiria, wenye hela zao wanafanya yao ila maskini na walalahoi wanapigwa sounds za uzalendo, yaani watu wazima wenye mindevu wanakubali kuamini kwamba hamna corona kisa rais katoa tamko kwamba haipo.

Mpaka sasa utakuta matajiri wengi wameshatoka nje na kuchanjwa kimya kimya ila maskini wanaendelea kuambiwa waimbe mapambio ya hakuna corona Tanzania, tumeishinda corona, imeshindwa na haijawahi kuwepo.

Kule jukwaa la siasa humu JF naona nyuzi za tanzia mwanzo mwisho yaani hali mbaya ila jamaa wameshupaza shingo, utakuta watu bado wanabanana kwenye midaladala na kupumuliana kisa waliambiwa corona haipo.

viongozi wa Tz ni wasengelema na wana ccm ni mambumbumbu sana sababu haya yote yanasababishwa na wao
 
Yes, we have more than 1,000 ICU beds and Ventilators while only 43 beds and 20 ventilators are currently occupied. That leaves a total of 900+ ICU that are empty.

kizungu kingi kumbe ulichoandika ni utumbo poor kunyaland
 
Geza Ulole joto la jiwe wacheni kujifanya kwamba hamjaona habari hii. Malazy bwana eti mnapiga nyungu. Dah! Nyungu itawauwa, it is not a scientific cure for corona. Mpo lazy hata kufikiria kunawashinda. Halafu huyo mtu aliyeforge Phd ya chemistry anawadanganya eti mpige nyungu mtapona. Sasa wakubwa wenu wanaletwa Kenya ili kuokoa maisha yao. CCM is a curse.

Mapumbavu yako kimya kama sijui nini, yameingiwa na ubaridi, korona ni nux sana
 
Wanakuja kufa tu, Kenya mnaongoza kwa kufa
Kumbuka kabla Tanzania haijasitisha kutoa takwimu za Covid-19 April 2019 Tanzania ilikuwa inaongoza kwa kuwa na wagonjwa wengi katika nchi za Afrika Mashariki.
Inawezekana bado inaongoza lakini kwa vile hakuna updates zozote tangu April last year hatuna uhakika nini kinachoendelea.
 
Back
Top Bottom