Tanzanian arrested in Malawi

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
Police in the border district of Karonga on Sunday arrested a Tanzanian national for attempting to illegally export 1200 bags of maize to Tanzania without proper documents.
The maize was loaded on two Tanzanian tracks registration numbers T696ASS/T669AUA and T799AUS/T236AUU.
The suspect, 44-year-old man Patrick Pasolo Mwinuka was nabbed at Iponga road block after lying to Police Officers that he was transporting Sunflower cake (residues from squeezed Sun flower).
"But when Police made a physical search they discovered that only few bags had Sunflower cake while the rest were bags of maize each weighing 90kilogrames," Karonga Police Spokesperson Enock Livasoni said in a statement.

black-men-jail-450a033108-300x262.jpg

According to Livasoni Mwinuka admitted that the maize was destined for Tanzania but he did not produce any document or permit allowing him to export it to Tanzania.
Meanwhile. Mwinuka is in police custody and he has been charged with the offence of attempting to export farm produce.
He will appear before the court soon, police said.
Mwinuka hails from Mwalusanje village in Mbeya district Tanzania.
 
Tumezidi sana Watanzania na biashara haramu, yaani ndiyo sifa tuliyo nayo huko nje. Mara madawa, mara mikoko, mara wanyama, kuzamia nchi za watu, nk. Ukienda nje unakaguliwa na kuulizwa maswali ya jela mno, ukiuliza kwa nini mimi, wanasema sorry sir, we have been instructed to be extra vigilant with visitors from your country because of previous frequent incidents involving Tanzanians.
 
Sasa huyu kafanya uhalifu unaleta hapa JF ili sisi tufanye nini? Hatuwezi kumtetea mtu ambaye hafuati sheria, hii habari ni kupoteza muda nadimu wa kuongelea maswala muhimu zaidi. Hawa watakuwa wale moderaters wa Kenya ambao wanafikiria umungiki kiki tu.
 
wWanaweza kutengeneza kesi ya kubambikia, Raia mmoja si mtu muhimu cn kwa Taifa letu; Sijui wewe Mkenya
 
Tumezidi sana Watanzania na biashara haramu, yaani ndiyo sifa tuliyo nayo huko nje. Mara madawa, mara mikoko, mara wanyama, kuzamia nchi za watu, nk. Ukienda nje unakaguliwa na kuulizwa maswali ya jela mno, ukiuliza kwa nini mimi, wanasema sorry sir, we have been instructed to be extra vigilant with visitors from your country because of previous frequent incidents involving Tanzanians.

A few weeks ago South Sudan walianzisha sheria ya kutowaruhu kuingia kwao kabla ya kupata entry permit kabla hujatoka hapa bongo!
 
Hii habari siyo vice-versa kuwa jamaa alikuwa anapeleka huo mzigo Malawi? Kweli tunanunua mahindi toka Malawi kweli au wao ndiyo wananunua toka kwetu?
 
Watanzania kwa njia za panya, tu mashuhuri!!! Sasa cha moto atakiona, mahindi hapati, ni batili!! Mtaji wake doro na jela asipoangalia na Malawi walivyo na shauku ya kutusulubu basi watamkamata pabaya!!!
 
wWanaweza kutengeneza kesi ya kubambikia, Raia mmoja si mtu muhimu cn kwa Taifa letu; Sijui wewe Mkenya

Kwa hiyo hapa JF ndio tunaweza kuhakikisha hawambambikii? Wacha utukutu.

In the first place, kitendo cha kusafirisha mahindi toka Malawi kuja Tz, kilianza lini?
Tz kuna njaa?
Huyu ameidhalilisha nchi yetu kwa maadui zetu.

we hujui kua kyela mahindi wanayokula na unga yanatoka malawo, si huku kwetu kyela tunamahusiano makubwa sana ya biashara kama vile we unavoenda kariakoo kununua vitu vya ndani
 
Unatudhalilisha tena kwa hilo changudoa lianze kusema linatulisha we jamaa vipi...
 
Unatudhalilisha tena kwa hilo changudoa lianze kusema linatulisha we jamaa vipi...

kwani hawatulishi na si tunawalisha na hapa tunaongelea maisha ya ukweli baina ya kyela na malawi sio we ulie nyuma ya keyboard unapinga kila kitu kama kawaida yenu magamba,.
 
kwani hawatulishi na si tunawalisha na hapa tunaongelea maisha ya ukweli baina ya kyela na malawi sio we ulie nyuma ya keyboard unapinga kila kitu kama kawaida yenu magamba,.

Wanakulisha wewe mvivu wa kufikiri, kwani mpaka uwe Marekani ndio ujue marekani ilivyo..tatizo akili zako za FB unaleta JF...kanye huko
 
In the first place, kitendo cha kusafirisha mahindi toka Malawi kuja Tz, kilianza lini?
Tz kuna njaa?
Huyu ameidhalilisha nchi yetu kwa maadui zetu.
Sio njaa mkuu, huenda bei ya ununuzi iko chini huko kwao, so uyu ni mlanguzi wa kawaida tu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hivi who is current BOYFRIEND WA JOYCE ..??

Something is very wrong with this bigoted woman...!!
 
Back
Top Bottom