G Gizakuu Member Apr 29, 2012 38 13 Jun 9, 2012 #1 Mhhhhh....loading... Nilikuwa natafakari TzDaima kesho wataandika nini nimetafakari..nisaidieni.
tindikalikali JF-Expert Member Jan 14, 2011 4,855 1,117 Jun 9, 2012 #4 Nape awatukana UAMSHO> awaita wahuni na majambazi.
zomba JF-Expert Member Nov 27, 2007 17,240 3,910 Jun 9, 2012 #5 "Mbowe hajakufuru" au "Mbowe hauzi Pombe anauza Kileo".
zomba JF-Expert Member Nov 27, 2007 17,240 3,910 Jun 9, 2012 #6 tindikalikali said: Nape awatukana UAMSHO> awaita wahuni na majambazi. Click to expand... "Mpaka kieleweke" - Sheikh Farid, Uamsho Zanzibar.
tindikalikali said: Nape awatukana UAMSHO> awaita wahuni na majambazi. Click to expand... "Mpaka kieleweke" - Sheikh Farid, Uamsho Zanzibar.
matumbo JF-Expert Member Jul 9, 2011 7,225 3,944 Jun 9, 2012 #7 Uhuru litaandika ''kumbe Uhamsho ni kundi la Majambazi-Nape..
M Mfwalamanyambi JF-Expert Member Dec 18, 2010 433 102 Jun 9, 2012 #8 Natabiri itakuwa hivi: CCM yaifunika Chadema Maelfu wahudhuria mkutano,wengi warudisha kadi za Chadema. Wassira amchambua Mbowe, asema Mbowe hana adabu kwa baba yake. Prof. Maghembe, Prof. Tibaijuka, Dr. Magufuli waunguruma. Kinana asema kazi imeanza, mikutano kuendelea nchi nzima. Nape awakejeli wanaokihama Chama, awafananisha na oili chafu.
Natabiri itakuwa hivi: CCM yaifunika Chadema Maelfu wahudhuria mkutano,wengi warudisha kadi za Chadema. Wassira amchambua Mbowe, asema Mbowe hana adabu kwa baba yake. Prof. Maghembe, Prof. Tibaijuka, Dr. Magufuli waunguruma. Kinana asema kazi imeanza, mikutano kuendelea nchi nzima. Nape awakejeli wanaokihama Chama, awafananisha na oili chafu.
Z Zion Daughter JF-Expert Member Jul 9, 2009 8,921 4,236 Jun 9, 2012 #9 itaandika...CCM IMEKUFA RASMI......UIGILIZI UMEWATOKEA PUANI
Makala Jr JF-Expert Member Aug 25, 2011 3,395 1,110 Jun 9, 2012 #10 Ningekuwa mi ndo Internal Editor ingekuwa hivi:Mawaziri kuacha kazi kwa muda ili wahubiri majukwaani