rellik etT
Member
- Jan 4, 2018
- 6
- 0
Wakifanya hvyo maambukizi yatakuwa mengi zaidi maana watu wataondoka hyo wilaya kwenda maeneo mengine na maambukiz yatashamiri
Mtoto Wa Mungu!
Kwa ushauri wangu ni vyema serikali ieleze wazi Wilaya au Halmashauri ambazo kwa DSM zimeguswa zaidi au kifupi kuelezea maeneo wanayotoka wagonjwa ili mtanzania wachukue tahadhari zaidi awapo maeneo hayo. Hakuna sababu ya kuficha kabisa.
Mtoto Wa Mungu!