more88
JF-Expert Member
- Apr 9, 2016
- 447
- 412
maneno yako mazito alafu ya kweliHawana uzoefu wowote wa 'disaster management' wanafikiri kubana taarifa kwa wananchi ndo damage control yao........she is kiding covid 19 sio mchezo kama Trump kashanyooka sembuse hi poverty stricken country yetu........
Sent using Jamii Forums mobile app
Ccm hawakuliona hilo likija hahahaJanga likiondoka duniani ?? hivi sasa dunia iko kwenye recession, CCM wakianza kuwa hawana pesa za kuwalipa majeshi na vyombo vya dola vinavyowaweka madarakani ndio watapata akili
Sisi maisha yetu tumemkabidhi Mungu viongozi wetu walisha tusaliti kabisa wanawaza siasa tu.
Hivi ni nyie wote au ni mimi tu wakati wa taarifa ya Corona nakuwaga nime"concentrate" kuangalia lips tu za Mh???😁😁😁😁
Napata faraja kwel kwel
#stayhomeSTAYSAFE
Inabidi siku ziongezweKuna Mijinga Mijinga humu wanasema Shule zifunguliwe tarehe 20 na Huu ugonjwa hauna athari tupige kazi sijui hawa wehu huwa wanataka nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Watawakopa maana wanawajua vizuri mnoJanga likiondoka duniani ?? hivi sasa dunia iko kwenye recession, CCM wakianza kuwa hawana pesa za kuwalipa majeshi na vyombo vya dola vinavyowaweka madarakani ndio watapata akili
Ccm hawakuliona hilo likija hahaha
Watawakopa maana wanawajua vizuri mno
Unazungumzia hawa police form four or form six failure?Watawakopa kitu gani na matumbo ya askari yataanza kwenda ndani ?? Naona kiza tu mbele hakuna mchezo
Mambo ya afya nadhani ni ya muungano kama sijakosea...Tatizo Ummy anachanganya takwimu za bara na visiwani ilihali Zanzibar wana Waziri wao na ndio atatangaza hali halisi ya Zanzibar!!
Unazungumzia hawa police form four or form six failure?