GREAT NAME
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 933
- 1,252
umewatoa wa dar?
Nimezirekebisha mzee! Upungufu wa wanaume sasa unasomeka 13,404,414 assuming the 50% ya Twaweza is scientific.Hizi hesabu zake sijui anatumia formula gani mazee,au ndo ile ya +++++kwa kwenda mbele then------then???
Itahalaliaha michepuko kiana.Hii itasaidia wazazi kupunguza mahari maana wanaume tutakuwa bidhaa adimu
.Inahudhunisha sana... Way forward ni kuweka mkakati wamichepuko kutambuliwa rasmi kama backup
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa takwimu hizo labda useme kuna uhaba wa wanawake na sio wanaume. Kwa uwiano uliotakiwa kuwa sawa ilipaswa kuwa wanawake 31000 na wanaume 20000.Makadirio idadi ya Watanzania 2017
Jumla: 51 557 365
Wanawake: 26 455 398
Wanaume: 25 101 967
Source NBS 2017
Wanawake zaidi ya 1,353,431 hawana wanaume TZ
Tena hawa ndo tatizo.Katika ha 25 mill, mashoga uliwatoa?
Makadirio idadi ya Watanzania 2017
Jumla: 51 557 365
Wanawake: 26 455 398
Wanaume: 25 101 967
Source NBS 2017
Wanawake zaidi ya 1,353,431 hawana wanaume TZ
As of now China wanaume ni wengi kuliko wanawakeNitajie mfano wa nchi moja tu ambako wanaume ni wengi kuliko wanawake?
Hata makundi ya wa nyama siku zote majike ni wengi.
Si suala la kuwa na idadi sawa.
Elimu, elimu, elimu.
Labda ungeenda mbali zaidi na kutupa picha ya idadi ya watu kijinsia kwa makundi ya umri mf watoto vijana wazeeMakadirio idadi ya Watanzania 2017
Jumla: 51 557 365
Wanawake: 26 455 398
Wanaume: 25 101 967
Source NBS 2017
Wanawake zaidi ya 1,353,431 hawana wanaume TZ
😁😁😁😁😁😁😁Utafiti wa Twaweza ndiyo ulitoa matokeo hayo baada ya kuwahoji wanaume elfu moja kwa njia ya mtandao nchini Tanzania. Si unajua tena Twaweza tafiti zao ni za kisayansi, zinaungwa mkono hadi na Fatuma Karume.
Tukiwaeleza watoe oda tuwatumie hata magimbi hawataki. Shauri yao; huku tunaendelea kuburudika tu kwa raha zetu.😁😁😁😁😁😁😁
Ila tatizo la nguvu za kiume ni kubwa sana Dsm kuliko mikoani,labda kutokana na vyakula visivyo vya asili vinavyoliwa na wakaazi wengi wa mjini.
Upo sahihi na hiyo ni special case. One child policy. Itawasumbua kwa miaka mingi.As of now China wanaume ni wengi kuliko wanawake
Kutokana na 'one child policy' miaka ya 70 wengi walipendelea watoto wa kiume
Na China ndo Taifa lenye idadi kubwa zaidi ya watu duniani..so u can imagine