Tanzania ya viwanda je itawezekana?

Alikaeli

Senior Member
Jul 30, 2016
169
193
Niseme tu kwamba huu wimbo wa Tanzania ya viwanda lazima tufikirie kwa mapana sana, lipo swala moja lazima maamuzi ya kisiasa yasiingie kwenye utekelezwaji wa swala hili, wanasiasa waendelee na siasa na wachumi professionals waachiwe hili rungu walifanyie kazi, waendelee kulishughulikia, hatuwezi kufanikiwa endapo hatutafanya hivyo, sehemu nyeti wapewe professionals ambao hawaegemei upande wowote.

Kwa sasa hivi watanzania walio wengi kila mtu anamsimamo wa kisiasa na anazungumzia siasa ndio maana inatokea kuwa ukichaguliwa kwenda kwenye nafasi flani lazima uchunguzwe msimmo wako kisiasa vinginevyo hupewi, nadhani kuna wasiwasi flani sasa nishauri kitu kimoja, swala la tanzania ya viwanda lisimame na tuone matunda yake lazima tuzingatie yafuatayo maana sisi kwa sisi hatuaminiani tena:

#Mosi, watafutwe wataalamu wazungu kutoka Marekani, Ujerumani na kwingine ambapo tunaona kunafaa ambao hawata itwa na chama chochote wala hawatasikiliza maoni ya chama chochote kile waunde tume yao iwe na wazungu tu professionals wa maswala ya Utafiti, Viwanda na watu hao wawemo wataalam wa mabadiliko ya tabia ya nchi, wataalamu hao watoke sector zote za uzalishaji, tuwape miaka 2 wapewe ndege, boti, meli, kichwa cha treni na behewa, wazunguke nchi nzima (PESA SIO TATIZO) wafanye tafiti katika vijiji na vitongoji na maeneo mengine serikali iwatajie halafu watueleze kile walichokiona, kinachoweza kupatikana, kinachoweza kuzalishwa, viwanda vipi vijengwe/ viwekwe maeneo yapi, viwanda hivyo vizalishe nini na viuze wapi, wataalamu hao watoe taarifa kuanzia hali ya hewa, malighafi, uzalishaji wa bidhaa (wazunguke na wanafunzi genious wanao malizia mwaka 3 degree na masters sio makapi na hakuna kupendekeza mtoto wa flani: hao wazungu watawafanyia interview wenyewe kuwachagua watakaoenda nao) kutoka vyuo vikuu hapa nchini vyenye sifa ya kuzalisha vijana wazuri.

Baada ya kazi hiyo ya kuzunguka nchi nzima wataalamu hao wawaalike wataalamu wengine kutoka nchi zinazozalisha mashine za viwanda (achana na sido bado haijakuwa) wanaouza mashine za wiwanda na wawape kile walichokiona wapewe makadirio ya viwanda hivyo kujengwa nchi nzima kila mahali walipopita na baadae kuikabidhi Bodi itakayoundwa na serikali ya bara na visiwani, bodi hiyo iwe na wakuu 5 ambao ni wazungu wataalamu wenye mamlaka na sauti ya maamuzi wachangamane na watanzania kutoka bara na visiwani (nasema hivi kwakuwa hatuaminiani tena, unampa mtu anaanza kuharibu na kufanya mengine kwa maswala binafsi na kusema nilipata maelekezo kutoka juu hapana) bodi hii ndio itawakaribisha wawekezaji ikiwa imewapa hata tathmini ya uwekezaji katika viwanda. Mwekezaji akipewa atapewa kwa sharti kuwa ndani ya siku 100 utekelezaji uanze kwa kasi na akishindwa aachie ngazi apewe mwingine, mwisho wa bodi hii utakuwa pale ambapo viwanda vyote vitakuwa vimekamilika, vimeajiri na vimeanza uzalishaji.

#PILI TANESCO lisizalishe na kuuza umeme kibiashara mfano, wanauza umeme na wajipatie faida hapana, bali wazalise umeme ili wapate pesa za kuwalipa wafanya kazi, kiwango kibaki kwa kununua na matengenezo ya vipuri, serikali iwe inawasaidia wanapokwama maana watakuwa na makusanyo mengi, hili lifanyike kusaidia kusukuma uchumi wa nchi, bei ya umeme itakuwa ndogo sana ili kuwezesha wawekezaji wa viwanda tajwa wafurahie kuwa na viwanda tanzania.Tukiamua tu tunavyofikiria maneno ni mengi yatakuwa na changamoto nyingi ambazo hazitatuliki kwakuwa kila mtu hataki kuachia kamba maana akiachia hana lake.

HUU NI USHAURI NA WAZO LANGU BASI.
 
Niseme tu kwamba huu wimbo wa tanzania ya viwanda lazima tufikirie kwa mapana sana, lipo swala moja lazima maamuzi ya kisiasa yasiingie kwenye utekelezwaji wa swala hili, wanasiasa waendelee na siasa na wachumi professionals waachiwe hili rungu walifanyie kazi, waendelee kulishughulikia, hatuwezi kufanikiwa endapo hatutafanya hivyo, sehem nyeti wapewe professionals ambao hawaegemei upande wowote. Kwa sasa hivi watanzania walio wengi kila mtu anamsimamo wa kisiasa na anazungumzia siasa ndio maana inatokea kuwa ukichaguliwa kwenda kwenye nafasi flani lazima uchunguzwe msimmo wako kisiasa vinginevyo hupewi, nadhani kuna wasiwasi flani sasa nishauri kitu kimoja, swala la tanzania ya viwanda lisimame na tuone matunda yake lazima tuzingatie yafuatayo maana sisi kwa sisi hatuaminiani tena:

#Mosi, watafutwe wataalamu wazungu kutoka Marekani, Ujerumani... na kwingine ambapo tunaona kunafaa ambao hawata itwa na chama chochote wala hawatasikiliza maoni ya chama chochote kile waunde tume yao iwe na wazungu tu professionals wa maswala ya Utafiti, Viwanda na watu hao wawemo wataalam wa mabadiliko ya tabia ya nchi, wataalamu hao watoke sector zote za uzalishaji, tuwape miaka 2 wapewe ndege, boti, meli, kichwa cha treni na behewa, wazunguke nchi nzima (PESA SIO TATIZO) wafanye tafiti katika vijiji na vitongoji na maeneo mengine serikali iwatajie halafu watueleze kile walichokiona, kinachoweza kupatikana, kinachoweza kuzalishwa, viwanda vipi vijengwe/ viwekwe maeneo yapi, viwanda hivyo vizalishe nini na viuze wapi, wataalamu hao watoe taarifa kuanzia hali ya hewa, malighafi, uzalishaji wa bidhaa (wazunguke na wanafunzi genious wanao malizia mwaka 3 degree na masters sio makapi na hakuna kupendekeza mtoto wa flani: hao wazungu watawafanyia interview wenyewe kuwachagua watakaoenda nao) kutoka vyuo vikuu hapa nchini vyenye sifa ya kuzalisha vijana wazuri. baada ya kazi hiyo ya kuzunguka nchi nzima wataalamu hao wawaalike wataalamu wengine kutoka nchi zinazozalisha mashine za viwanda (achana na sido bado haijakuwa) wanaouza mashine za wiwanda na wawape kile walichokiona wapewe makadirio ya viwanda hivyo kujengwa nchi nzima kila mahali walipopita na baadae kuikabidhi Bodi itakayoundwa na serikali ya bara na visiwani, bodi hiyo iwe na wakuu 5 ambao ni wazungu wataalamu wenye mamlaka na sauti ya maamuzi wachangamane na watanzania kutoka bara na visiwani (nasema hivi kwakuwa hatuaminiani tena, unampa mtu anaanza kuharibu na kufanya mengine kwa maswala binafsi na kusema nilipata maelekezo kutoka juu hapana) bodi hii ndio itawakaribisha wawekezaji ikiwa imewapa hata tathmini ya uwekezaji katika viwanda. mwekezaji akipewa atapewa kwa sharti kuwa ndani ya siku 100 utekelezaji uanze kwa kasi na akishindwa aachie ngazi apewe mwingine, mwisho wa bodi hii utakuwa pale ambapo viwanda vyote vitakuwa vimekamilika, vimeajiri na vimeanza uzalishaji.

#PILI Tanesco lisizalishe na kuuza umeme kibiashara mfano, wanauza umeme na wajipatie faida hapana, bali wazalise umeme ili wapate pesa za kuwalipa wafanya kazi, kiwango kibaki kwa kununua na matengenezo ya vipuri, serikali iwe inawasaidia wanapokwama maana watakuwa na makusanyo mengi, hili lifanyike kusaidia kusukuma uchumi wa nchi, bei ya umeme itakuwa ndogo sana ili kuwezesha wawekezaji wa viwanda tajwa wafurahie kuwa na viwanda tanzania.

Tukiamua tu tunavyofikiria maneno ni mengi yatakuwa na changamoto nyingi ambazo hazitatuliki kwakuwa kila mtu hataki kuachia kamba maana akiachia hana lake.

HUU NI USHAURI NA WAZO LANGU BASI.
Achana na mambo ya viwanda sisi tupo busy kuleta uhaba wa sukari ili tupate media coverage pia sasa hivi tupo busy kuhamia dodoma viwanda tutazungumzia tena 2020 wakati wa kuwaomba kura full stop
 
Achana na mambo ya viwanda sisi tupo busy kuleta uhaba wa sukari ili tupate media coverage pia sasa hivi tupo busy kuhamia dodoma viwanda tutazungumzia tena 2020 wakati wa kuwaomba kura full stop
Mlianzisha ya viwanda, bado sukari mmeshindwa kushusha bei maana inazalishwa hapahapa sio nchi nyingine ili walau tuipata kwa sh 500-1000 maana ipo hapa, mmeongeza ya kuhamia dodoma huu mzigo tutauweza, tungeanza na kimoja baada ya kingine kimoja kitaipa nguvu kingine sio vyote kwa pamoja ni ngumu sana.
 
Madawati yametengenezwa kabla ya madarasa ya kuyaweka mpaka sasa still kuna wanafunzi wanasomea nje si kwa kukosa madawati bali vyumba vya madarasa...Sasa najiuliza kipi kilifaa kitangulie hapo madawati ama ujenzi wa madarasa?...Sukari ilitoka amri nchi nzima ipatikane kwa sh 1800 matokeo yake bei ilipaa na mpaka sasa iko huko hewani na hakuna anaye ongelea tena swala hilo la sukari...Kuna mambo mengi madogo dogo sana ukijaribu kuyaangalia jinsi yanavyoleta changamoto...Lazima upate mashaka makubwa kwamba kama mfumo wa ku-approach mambo hautabadilika kwenda mbele itabaki historia tu..
 
Back
Top Bottom