Tanzania ya Magufuli ilikuwa ya Viwanda. Je, Tanzania ya Mama ni ya nini?

Mtanke

JF-Expert Member
Nov 19, 2011
715
1,774
Magufuli alitujengea fikra ya viwanda na viwanda vilijengwa vikubwa na vidogo. Pia sera zilibadilishwa ili kuibeba agenda ya viwanda. Mfumuko wa bei ulidhibitiwa na kuwatia moyo na ujasiri wawekezaji kutumbukiza fedha zao kwenye ujenzi wa viwanda.

Swali langu ni Je, Tanzania ya Mama Samia ni Tanzania ya nini? Mkapa ilikuwa Ukweli na Uwazi na Uwekezaji jumlisha na Ubinafsishaji. Kikwete alikuja na maisha bora kwa kila mtanzania na ukwapuaji wa laki si pesa.

Je Mama yeye yuko na Tanzania ipi? Agenda yake kuu ni nini? Falsafa yake nayo ni ipi?
 
Attachments

  • A193E4F4-8F48-4C5B-8EF8-B740903EE976.jpeg
    A193E4F4-8F48-4C5B-8EF8-B740903EE976.jpeg
    48.7 KB · Views: 3
Elimu!Huyu Mama alitakiwa afuate baada ya Nyerere.Miradi ya P4R, COVID na Boost hakika watoto wetu hawakai chini Tena,madarasa ya kisasa kabisa,full tiles,terazo madarasa ya awali huko Tunduru kwenye mradi wa boost yana mpaka feni juu.Madarasa yana full aluminum.Wakati enzi zetu siku ukiwahi unapita mlangoni ukichelewa unapita dirishani.Mnyonge mnyongeni haki yake mpatieni.Tuwe na siku maalumu ya kuacha unafiki Kwa muda na kupongeza walau mazuri wanayofanya Viongozi wetu.Ni Mchango watu Kwa mtazamo wangu povu ruksa.
 
Magufuli alitujengea fikra ya viwanda na viwanda vilijengwa vikubwa na vidogo. Pia sera zilibadilishwa ili kuibeba agenda ya viwanda. Mfumuko wa bei ulidhibitiwa na kuwatia moyo na ujasiri wawekezaji kutumbukiza fedha zao kwenye ujenzi wa viwanda.

Swali langu ni Je Tanzania ya Mama Samia ni Tanzania ya nini? Mkapa ilikuwa Ukweli na Uwazi na Uwekezaji jumlisha na Ubinafsishaji. Kikwete alikuja na maisha bora kwa kila mtanzania na ukwapuaji wa laki si pesa.

Je Mama yeye yuko na Tanzania ipi? Agenda yake kuu ni nini? Falsafa yake nayo ni ipi?
Mauzo.
 
Tanzania ya mama ni ya ombaomba na mikopo. Ni upigaji tu na kuhangaika kusimika familia yake na rafiki zake kushika uchumi wa nchi.
 
Magufuli alitujengea fikra ya viwanda na viwanda vilijengwa vikubwa na vidogo. Pia sera zilibadilishwa ili kuibeba agenda ya viwanda. Mfumuko wa bei ulidhibitiwa na kuwatia moyo na ujasiri wawekezaji kutumbukiza fedha zao kwenye ujenzi wa viwanda.

Swali langu ni Je Tanzania ya Mama Samia ni Tanzania ya nini? Mkapa ilikuwa Ukweli na Uwazi na Uwekezaji jumlisha na Ubinafsishaji. Kikwete alikuja na maisha bora kwa kila mtanzania na ukwapuaji wa laki si pesa.

Je Mama yeye yuko na Tanzania ipi? Agenda yake kuu ni nini? Falsafa yake nayo ni ipi?
Diplomasia ya uchumi.....uchumi wa buluuu
 
Mkuu, kwanza tuorodheshee hivyo Viwanda kwa kila mkoa halafu ndio wadau wajibu hoja yako kwa ufasaha!

Pia tufafanulie vizuri, swali lako linahusu nini? Fikra au kauli mbiu?
 
Magufuli alitujengea fikra ya viwanda na viwanda vilijengwa vikubwa na vidogo. Pia sera zilibadilishwa ili kuibeba agenda ya viwanda. Mfumuko wa bei ulidhibitiwa na kuwatia moyo na ujasiri wawekezaji kutumbukiza fedha zao kwenye ujenzi wa viwanda.

Swali langu ni Je Tanzania ya Mama Samia ni Tanzania ya nini? Mkapa ilikuwa Ukweli na Uwazi na Uwekezaji jumlisha na Ubinafsishaji. Kikwete alikuja na maisha bora kwa kila mtanzania na ukwapuaji wa laki si pesa.

Je Mama yeye yuko na Tanzania ipi? Agenda yake kuu ni nini? Falsafa yake nayo ni ipi?
Hivyo viwanda unaweza kutuonesha hata kimoja?
 
Back
Top Bottom