Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Waliishia kumpaka matope.

View attachment 1665493
Siasa ni mchezo mchafu kupindukia,mtu morally sound, hawezi kuwa mwanasiasa.Ukweli kuhusu siasa ni huu👇

What is politics?Politics is the manipulation of people to gain power over them.Politicians in their arrogance, flatter and manipulate others to extract benefit from them, to serve their own appetites.Their interest in others is not genuine, but rather they seek to gain advantage to satisfy their own lust.
 
Yapo mengi kuhusu Historia ambayo hutakuja kuyajua na yamefichwa kwa makusudi ili usijitambue,hilo la Kambona ni dogo sana.Na mengine ukiambiwa hata hutakubali, kwa kuwa umeonyeshwa upande mwingine wa shillingi ambao ni uongo.Very sad.
Kuna mtu alisha wah kusema historia ya Africa inahitaj kuandikwa upya..
 
Yapo mengi kuhusu Historia ambayo hutakuja kuyajua na yamefichwa kwa makusudi ili usijitambue,hilo la Kambona ni dogo sana.Na mengine ukiambiwa hata hutakubali, kwa kuwa umeonyeshwa upande mwingine wa shillingi ambao ni uongo.Very sad.
Haya tuambie ni mambo gani yamefichwa???
 
Ningekuambia, ila hilo neno "Haya" limeni "put off." Najua kinachofuata,utasema ni conspiracy theory,so I keep it to myself.Kwa ujinga wenu mtakosa mengi.
Stop your nonsense, alafu usipende kujaji watu kiongozi, kama unamadini weka kama hauna tulia.
 
BORUSSIA DORTMUND
50264edbd1fe9793787e8412b50825de.png

Ukiwa pale NAIROBI, nchini KENYA kuna LOUNGE inaitwa BVB LOUNGE na wateja wengi huwa ni WATANZANIA waliohamia nchini KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].

465fc348dcbaf35408d5402f8f3c2abe.png

Wanaomiliki BVB LOUNGE ni WATANZANIA na kuna uhusiano wa moja kwa moja na umiliki wa timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA UJERUMANI inayoitwa BORUSSIA DORTMUND.

3e7e1273fdcfe0b734aa5b163c85c834.png

Msimu huu timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA UJERUMANI inayoitwa BORUSSIA DORTMUND imeingia fainali ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE.
 
Ukiwa pale NAIROBI, nchini KENYA kuna LOUNGE inaitwa BVB LOUNGE na wateja wengi huwa ni WATANZANIA waliohamia nchini KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].

Wanaomiliki BVB LOUNGE ni WATANZANIA na kuna uhusiano wa moja kwa moja na umiliki wa timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA UJERUMANI inayoitwa BORUSSIA DORTMUND.

Msimu huu timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA UJERUMANI inayoitwa BORUSSIA DORTMUND imeingia fainali ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE.
 
Mambo mengine huwa tunakaa kimya na kuwaangalia jinsi wanavyoeneza UONGO! Lakini siku zote UKWELI utabaki kuwa UKWELI, hata kama ukichelewa miaka mia kenda..😄

Haya swali la kwanza ambalo tayari lilishapata majibu yake lilikuwa linauliza hivi ~ VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE ni LAANA au BARAKA? Jadili.

Kwa LUGHA YA KIINGEREZA ilikuwa inamaanisha hivi ~ CIVIL WAR is a CURSE or BLESSING? Discuss.

Swali la pili ambalo ndiyo litakuwa ni swali la juma zima litakuwa linauliza hivi ~ Eleza namna gani TANZANIA ilianza rasmi kuwa sehemu ya kuhifadhi watu wenye matatizo ya AFYA YA AKILI, mwaka 1994?

Kwa LUGHA YA KIINGEREZA inamaanisha hivi ~ Explain how TANZANIA was officially becoming a SOBER HOUSE in 1994.

IMG_20240413_150024.jpg

Majibu ya msingi ya hili swali, ndiyo yataonesha taswira kamili na matokeo ya TAIFA LA TANZANIA kuruhusu WAHAMIAJI au WAHANGA waliothirika na VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE, yaani "CIVIL WAR" kuhamia nchini TANZANIA.

Hili swali la msingi ndiyo litakuwa linaonesha makosa mengine yaliyofanywa na VIONGOZI WA AWAMU YA KWANZA na AWAMU YA PILI ambapo kwa namna moja ama nyingine inaendelea kugharimu TAIFA LA TANZANIA.
 
"SOBER HOUSE" ni sehemu salama kwa waathirika wa AFYA YA AKILI, ambapo wahusika huwa wanapata fursa ya matibabu na kuweza kurudi katika hali yao ya kawaida.

cf319aa01bff51dd12a58b7427eab4ed.png

MATATIZO YA AFYA YA AKILI yanaweza kusababishwa na MSONGO WA MAWAZO, MATUMIZI YA VILEVI kama MADAWA YA KULEVYA, UNYWAJI WA POMBE KUPITA KIASI, WAATHIRIKA WA VITENDO VYA UKATILI WA KIJINSIA, WAATHIRIKA WA VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE yaani "CIVIL WAR" na n.k.

9436c5b65f4c2bd80dd62a7e61046bf5.png

Kulingana na SHIRIKA LA AFYA DUNIANI [WHO], AFYA YA AKILI inabakia kuwa ni sehemu muhimu ya AFYA na USTAWI WA MAENDELEO wa kila MWANANCHI mmoja mmoja.

Yaani kila MWANANCHI ana haki na wajibu wa kupata AFYA YA AKILI sehemu yoyote na mahala popote panapostahili kupatikana kwa matibabu yatakayopelekea kuwa na AFYA YA AKILI iliyo nadhifu.

acbce583fa1ff4936ab2ae7d2191344c.png

Sasa kwa upande wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO pamoja na kuwa na UTAJIRI waliofanikiwa kuwekeza katika MATAIFA mbalimbali duniani, bado wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] wameendelea kuwa katika DHIKI kutokana na HALI YA KISIASA iliyokuwa ikiendelea katika MATAIFA yao.

1bec771758248a1291c49e827192b360.png

Na TAIFA LA TANZANIA lilifanyika kama "SOBER HOUSE" kwa waathirika wa VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE, yaani "CIVIL WAR" iliyotokea katika MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO.

fe3778057428494a15582798100962cc.png

Kwahiyo, hili swali linalohusu "Explain how TANZANIA was officially becoming a SOBER HOUSE in 1994." utakuwa umefahamu namna ya kulijibu na mara nyingi huwa wanauliza kwenye MAJESHI YA ULINZI na USALAMA pamoja na TAASISI ZA KISERIKALI na ASASI YA KIRAIA zinazohusika na masuala ya AFYA YA AKILI.
 
Achana na sober, lini vita inaisha
"SOBER HOUSE" ni sehemu salama kwa waathirika wa AFYA YA AKILI, ambapo huwa wanapata fursa ya matibabu na kuweza kurudi katika hali ya kawaida.

MATATIZO YA AFYA YA AKILI yanaweza kusababishwa na msongo wa mawazo, matumizi ya vilevi kama madawa ya kulevya na unywaji wa pombe kupita kiasi, waathirika wa vitendo vya ukatili wa kijinsia, waathirika wa VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE yaani "CIVIL WAR" na n.k.

Kulingana na SHIRIKA LA AFYA DUNIANI [WHO], AFYA YA AKILI inabakia kuwa ni sehemu muhimu ya AFYA na USTAWI WA MAENDELEO wa kila MWANANCHI mmoja mmoja.

Yaani kila MWANANCHI ana haki na wajibu wa kupata AFYA YA AKILI sehemu yoyote na mahala popote panapostahili kupatikana kwa matibabu yatakayopelekea kuwa na AFYA YA AKILI.

Sasa kwa upande wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO pamoja na kuwa na UTAJIRI waliofanikiwa kuwekeza katika MATAIFA mbalimbali duniani, bado wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] wameendelea kuwa katika DHIKI kutokana na HALI YA KISIASA iliyokuwa ikiendelea katika MATAIFA yao.

Na TAIFA LA TANZANIA lilifanyika kama "SOBER HOUSE" kwa waathirika wa VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE, yaani "CIVIL WAR" iliyotokea katika MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO.

Kwahiyo, hili swali linalohusu "Explain how TANZANIA was officially becoming a SOBER HOUSE in 1994." utakuwa umefahamu namna ya kulijibu na mara nyingi huwa wanauliza kwenye MAJESHI YA ULINZI na USALAMA pamoja na TAASISI ZA KISERIKALI na ASASI YA KIRAIA zinazohusika na masuala ya AFYA YA AKILI.
 
Kina mfano gani wa kuigwa???
Kwanza, CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] kimefanikiwa kuhimili vishindo na migongano mingi ya ndani ya CHAMA. Misukosuko ni mingi ambayo CHAMA kimepitia.

Pili, ukijaribu kuangalia nafasi ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] katika TAIFA LA TANZANIA ni CHAMA TAWALA chenye kurasa safi kuliko VYAMA VINGINE VYA KISIASA.

5e3b97bf0e77edaa214577baabc3211f.png

Ukitaka kuamini hili, jaribu kuanzisha uzi wa MFUMO WA VYAMA VINGI halafu tuanze kuangalia BODI YA WADHAMINI ya kila CHAMA CHA SIASA. Ndugu yangu, kuna VYAMA VYA KISIASA utaomba vifutwe..😂
 
Aiseehhh
 
Sasa baada ya TAIFA LA TANZANIA kuwa "SOBER HOUSE" kwa wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC].

c79a9207fc60fe9c9b3f00291618dc0c.png

Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's], upande wa SEKTA YA USAFIRISHAJI walipiga marufuku kwa SEKTA BINAFSI na SEKTA ZA UMMA kuajiri MADEREVA ambao ni wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC].

a25fce91929e4abbc8be0a6cc066fc8a.png

Kutokana na kuwa na MATATIZO YA AFYA YA AKILI yaliyosababishwa na MSONGO WA MAWAZO uliotokana na athari za VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE, yaani "CIVIL WAR" - ilikuwa siyo salama kwao kuendesha VYOMBO VYA MOTO hasa USAFIRI WA ABIRIA NA MIZIGO.

4bec574f4bde15e6d4e4b227588fe677.png

Kwa sababu wao [MOTOR VEHICLE INSPECTORS] wanaamini MTU anatakiwa awe na utimamu wa mwili na akili ili aweze kuwa DEREVA mzuri. Sasa wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] hawakutakiwa kuwa MADEREVA kwa sababu ya kuwa na MSONGO WA MAWAZO uliosababishwa na athari za VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE, yaani "CIVIL WAR".

f09f9f566678c199f6c2404756163c9e.png

Kwahiyo kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA, wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] walikuwa hawaajiriwi kwenye SEKTA YA USAFIRISHAJI WA MIZIGO NA ABIRIA.

6d45c256dc73df94f242d21728e3a1ad.png

Lakini sasa hivi [miaka ya hivi karibuni] wameanza kuajiriwa kwenye kampuni ambazo zinamilikiwa na wao wenyewe! Yaani kampuni za wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] ambazo zinapatikana TANZANIA.
 
Sasa baada ya TAIFA LA TANZANIA kuwa "SOBER HOUSE" kwa wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC].

Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's], upande wa SEKTA YA USAFIRISHAJI walipiga marufuku kwa SEKTA BINAFSI na SEKTA ZA UMMA kuajiri MADEREVA ambao ni wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC].

Kutokana na kuwa na MATATIZO YA AFYA YA AKILI yaliyosababishwa na MSONGO WA MAWAZO uliotokana na athari za VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE, yaani "CIVIL WAR" - ilikuwa siyo salama kwao kuendesha VYOMBO VYA MOTO hasa USAFIRI WA ABIRIA NA MIZIGO.

Kwa sababu wao [VEHICLE INSPECTORS] wanaamini MTU anatakiwa awe na utimamu wa mwili na akili ili aweze kuwa DEREVA mzuri. Sasa wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] hawakutakiwa kuwa MADEREVA kwa sababu ya kuwa na MSONGO WA MAWAZO uliosababishwa na athari za VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE, yaani "CIVIL WAR".

Kwahiyo kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA, wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] walikuwa hawaajiriwi kwenye SEKTA YA USAFIRISHAJI WA MIZIGO NA ABIRIA.

Lakini sasa hivi [miaka ya hivi karibuni] wameanza kuajiriwa kwenye kampuni ambazo zinamilikiwa na wao wenyewe! Yaani kampuni za wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] ambazo zinapatikana TANZANIA.
NI KAMPUNI GANI HIZO, NI ZA BSC ZIPO TZ.
 
NI KAMPUNI GANI HIZO, NI ZA BSC ZIPO TZ.
Unajua kipindi fulani hapa JamiiForums tulikuwa tunasema SERIKALI YA TANZANIA inatakiwa iwe na utaratibu wa kuonana na WALIPA KODI [I mean wamiliki halali wa kampuni] kuanzia ngazi ya WILAYA.

Hii ingelisaidia kufahamu kwa wepesi kabisa, kwamba hii kampuni inamilikiwa na nani? Na ile kampuni inamilikiwa na nani?

Hali hii imekuwa ni tofauti kabisa! Kwani sasa hivi SERIKALI YA TANZANIA imekuwa na utaratibu wa kuonana na WATUMISHI au WAWAKILISHI WA KAMPUNI BINAFSI.

Achalia mbali hawa wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC]. Pia kuna WATANZANIA wanamiliki KAMPUNI BINAFSI kupitia majina ya watu wengine [i.e watoto, ndugu na hata jamaa wa karibu]. Kwahiyo ni vyema na sahihi kufahamu WASIFU wa kila MLIPA KODI.

Hapa TANZANIA kuna watu wanamiliki ASSETS, bila hata ya wao wenyewe kufahamu! Yaani wanatumika bila ya wao wenyewe kujijua, ndiyo maana tukasema uwepo utaratibu wa SERIKALI YA TANZANIA kuonana na WALIPA KODI [I mean wamiliki halali wa kampuni binafsi].

Sasa kipindi fulani nilipata "PROJECT" ya kufanya kule MBEYA, ilikuwa ni mwaka juzi na baada ya kufika eneo la kazi katika matembezi ya jioni nikapata LIFTI ya gari, ilikuwa inatoka KIJIJI CHA PATAMELA na inaelekea MKWAJUNI.

Kabla ya kufika MKWAJUNI ile gari ilipata ajali [ilikuwa ni TOYOTA LANDCRUISER HARDTOP] kwa kubilingita mara mbili. Hakuna aliyefariki, lakini kulikuwa na majeruhi wachache.

Baada ya siku chache niliamua kufuatilia na kufahamu DEREVA alikuwa ni mtu wa wapi! Alikuwa ni mwenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] na ndiyo ikawa mwanzo wa kufahamu wamiliki halali wa ile kampuni niliyokuwa nikifanya kazi.

IMG-20231107-WA00070001.jpg

Miezi michache iliyofuata niliamua kwenda na gari yangu mwenyewe na kuna raha ya kuwa na USAFIRI BINAFSI..
😁

IMG-20230916-WA0004~2.jpg

Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] wamejitahidi kuwekeza TANZANIA na wanamiliki kampuni nzito kweli kweli. Yaani wao walifanya kuhamia nchini TANZANIA wakiwa na MITAJI YA KIBIASHARA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom