Tanzania ya ajabu - Bei ya Diesel Burundi ni nafuu kuliko Tanzania

YAANI NI HIVI!! BARABARA ZINALIPWA ROAD TOLLS!!..DUNIANI KOTE.Tanzania enzi za Rais Mkapa wakabadilisha wakaweka hii tol.kwenye mafuta!! Yes.Tanzania ina Road Toll kwa kila Lita ya mafuta ya Diesel na Petrol..Pale unaponunua mafuta Petro Station Serekali ya Tanzania inachukua Road Toll...Wengine pamoja na South Africa wana Phyisical Roadtoll Kiosk..na Ata wale wanaoenda China,UsA zipo....so sawa Burundi mafuta yao yoote yanapita hapa TZ. ila wanajua jinsi gani wanapata Roadtoll.yao.Sijaua why Maghufuli watanzania kila Jumba Bovu na Zuri wanampatia yeye.Ila kwa kweli huyu Baba Anajitaidi....Daima Tunaconect Dots Backward!!! Kuna Vizazi vitakuja mwelewa🥃🥃.Ata kwenye Bibilia Wana Wa Israel ....kutakuja kizazi kitamwelewa Yesu kuwa ndie Masia wa kweli...ila watakuwa too late.....Baniani Mbaya...Kiatu Chake Dawa
Bado hujajibu swali kwanini mafuta bongo ni ghali kuliko Burundi
 
Adui mkubwa wa uchumi ni kodi kubwa na uwingi wa kodi. Hakuna nchi hata moja Duniani iliyowahi kupata maendelea ya haraka kwa kuongeza kodi.

Dubai, nchi yenye kodi ndogo kabisa ndiyo iliyowahi kuujenga uchumi wake kwa kasi ya ajabu ndani ya miaka 15 tu.

Ukitaka kuona maajabu ya watawaka, watunga sheria na sera wa Tanzania, nenda nchi jirani kama Burundi na Rwanda, ambako nimeenda siku za karibuni kwa gari yangu. Bei ya diesel katika nchi hizi ni nafuu kuliko bei ya diesel Tanzania lakini diesel hiyo imepitia bandari ya Dar es Salaam.

Mwanza nilinunua diesel lita moja kwa sh 2350. Mpakani nilibadilisha shilingi 2m, nikapata faranca 2.4m (rate 1sh = 1.2 fr). Mjini Bujumbura nikaweka diesel kwa faranca 2,544 (sawa na shilingi 2,100), yaani shilingi 250 pungufu ya Mwanza.
Dahh! Hiyo point yako hapo "Hakuna nchi hata moja duniani iliyowahi kupata maendeleo ya haraka kwa kuongeza kodi"

Inabidi TRA na mkulu waifanyie kazi hi nchi bado tunasafari ndefu sana kiuchumi nahisi pia inasababishwa na ubora wa elimu yetu watu wengi sio creative
 
Yale yale ya wafanyabiashara wa Tanzania kwenda Uganda kununua bidhaa kutoka China kwa bei nafuu wakati zimepitia bandari yetu. Tatizo kubwa la uchumi wa nchi hii linasabishwa na TRA.
Hiace (daladala) nyingi za Kagera, Geita, Mwanza na Shinyanga ni mitumba kutoka Uganda
 
Yale yale ya wafanyabiashara wa Tanzania kwenda Uganda kununua bidhaa kutoka China kwa bei nafuu wakati zimepitia bandari yetu. Tatizo kubwa la uchumi wa nchi hii linasabishwa na TRA.
Tumia akili kidogo. Kwani TRA ndo inapanga viwango vya kodi?
 
Jibu tosha serikali imeweka kodi kubwa kwa sababu Watanzania wanauwezo wa kununua huduma hata kama zipo juu kutokana na maelezo yako
 
Cheki sasa majbu yao ya kiquma!! Eti haya ndiyo majitu tunayoyategemea kuifanya nchi yetu iwe ya uchumi wa viwanda!
Jikite kwenye mada sawa huyo jamaa hata mimi kan
mkuu angalia vzr alichoandikaa
Niliona alichoandika ila nilihisi kakosea kulingana na exchage rate ya huyo mwamba mwenye uzi 1Tsh=1.2 BIF

Nimeangalia exchange rate ya leo ni
1Tsh = 0.8BIF maana yake huyo mwamba kumbe anaweza kuwa sahihi na alietulisha matangi pori ni mleta mada.

Lakini bado sijajua maana exchange rate sio fixed inaweza kishuka pia.
 
Huwa tunakosea. TRA kazi yao ni kukusanya kodi tuu. Wanao weka viwango na idadi ya kodi ni serikali kwa kupitia wizara ya fedha.
Hizi kodi na viwango vyake then vinapitishwa ns bunge.
Bunge likishapitisha hapo ndipo TRA wanaanza kukusanya kwa kutumia kodi zilizopitishwa na bunge.
Nikukumbushe kwamba mshauri wa kwanza katika "kuset" viwango vya kodi ni TRA ambaye ndiye yuko field.
 
Back
Top Bottom