Mpira umekwisha kwa ushindi wa goli moja
Mpira umekwisha kwa ushindi wa goli moja
Dk ya 35 samata na bonny wanaingia kuchukua nafasi ya boko na mgosi sawia
Hivi huyu jamaa tatizo lake anapokuwa timu ya taifa ni nini hasa? au hana wa kumchezesha? kwani mechi za mchangani (ligi) anawika sana, lakini ikija za kimataifa au Taifa stars anakuwa mdebwedo. Tulimwona hata wiki iliyopita comoro alikuwa anatalii tu uwanjani, tatizo hasa ni nini?