Tanzania vs Palestine

Dk ya 35 samata na bonny wanaingia kuchukua nafasi ya boko na mgosi sawia
 
umaliziaji tatizo kubwa. Nafasi za kufunga zimepatikana tatizo nani adumbukize!
 
Dk ya 35 samata na bonny wanaingia kuchukua nafasi ya boko na mgosi sawia

Hivi huyu jamaa tatizo lake anapokuwa timu ya taifa ni nini hasa? au hana wa kumchezesha? kwani mechi za mchangani (ligi) anawika sana, lakini ikija za kimataifa au Taifa stars anakuwa mdebwedo. Tulimwona hata wiki iliyopita comoro alikuwa anatalii tu uwanjani, tatizo hasa ni nini?
 
Ni kuwa hapa Bongo anacheza na wasioujua ndo mana anawatesa...mechi za kimataifa anakutana na wanaojua zaidi yake na yeye anakuwa asiyejua..anarukaruka tu
 
Back
Top Bottom