MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 20,897
- 63,784
- Thread starter
- #41
Mkuu umesahau na hii;
Kumtoa mvamizi nchini COMOROS
THE SLEEPING GIANT IS NOW AWAKE!!!!!
March to Glory Comrade!!!
Mkuu umesahau na hii;
Kumtoa mvamizi nchini COMOROS
THE SLEEPING GIANT IS NOW AWAKE!!!!!
Kumbe unaelewa na unakubari, ila imeamua tu kujifanya huelewi na kuuliza maswali yasiokuwa na msingiKuna sababu gani basi kuficha busara zako kwa vile tu unataka kumwonesha mpuuzi fulani kwamba nawe ni mpuuzi kwa kiwango kilichotukuka?
Jamani tufike mahali tuwe tunahukumu mtu mmoja mmoja badala ya hizi hukumu za ujumla...haiwezekani atokee raia mmoja afanye jambo lisilo na staha kisha hukumu itolewe kwa taifa lake zima as if alifanya kwa hisani ya taifa!
Wanaroho mbaya sana hao watu yaani hawafai hata kwa kulumangia..Kenya walikuwa na mahusiano na Apartheid South Africa.
..pia walikuwa wafadhili wa magaida wa Renamo wa Mozambique.
Na kupora ardhi ya wakenya wanyongeKipindi hicho Babu yao Nyang'au Mkuu anahangaika na kujilimbikizia mali.
Lakini si ni ukweli?Wakati mwingine tunapeleka watoto shule ili kujifunza ustaarabu, sio lazima kufaulu masomo ya darasani, how dare mtu unayedhani umestaarabika unaweza kusimama wazi, kuanza kufanya comparison za kiuanafunzi,tena wanaojifunza kufanya arguments kutoa chapisho ama tamko linaloweza kuchochea uhasama baina ya watu wa taifa moja na lingine?
Hii topic naona MANYANG'AU YAMEJIFICHA, ila ukileta habari ya kulinganisha maghorofa wataweka picha mpaka za S.Africa ili tu waonekane wana maghorofa mazuri
Lakini si ni ukweli?
And wasnt Tanzania also proud fighting the Angolan and Mozambican wars as Russian and Cuban Puppets?Kenyans r proud of fighting Korean wars instead as puppets to Western agenda during cold war.
And incidentally, the majority of the countries Tanzania "helped liberate" dint end up that. Nearly all of them degenerated into war-zones a few years after their "liberation", in which millions of lives lost...so much for Nyerere's efforts.