Tanzania viingilio kwa ubaguzi

mbongopopo

JF-Expert Member
Jan 24, 2008
1,611
759
Jamani hii nchi kweli ni umasikini wa nchi au? je hii ndio ilivyo sehemu nyingi au? na bara?


Celebrating Bongo Films, Bongo Sounds, Music and Performances!
From Friday 31st Dec 2010 to 2nd January 2011

Friday 31st Dec. Shows:
Films on the Big Screen:
This is it –Star: Steven Kanumba, Hanifa Daudi, Othman Njaidi,
Huba – Star: Ahmed Olutu, Natasha & Hashim Kambi,
Saturday 1st Jan Show:
Films on the Big Screen:
Don’t Cry – Star: Haji Adam
Divorce–Star:Vincent Kigosi,

Sunday 2nd Jan Show:
Films on the Big Screen:
Awards Night-Winning Film


Followed by:

Performances by: Tanzania House of Talents (THT)

Mwasiti, Marlaw, Mataluma, Amini, Barnabas, Ditto, Lina, THT Band and Dancers

Ticket Price:

Tsh 5000/- Local & Tsh 10,000/- Foreigner

In the Old Fort (Ngome Kongwe) from 7pm to 1am

source: Michuzi blog 31/12/2010
 
Ndo ufisadi wenyewe huo!Hata maji ya kunywa mzungu anauziwa bei yake mwenyewe!
 
Ndo ufisadi wenyewe huo!Hata maji ya kunywa mzungu anauziwa bei yake mwenyewe!

Huu ni ubaguzi wa hali ya juu na sijui kwa nini unaruhusiwa. Ndiyo nchi isiyo na sheria kila mtu anafanya kivyake vyake tu.

 
Hiyo ni biashara ndugu, wanaposema foreigners wanawakusudia wazungu zaidi maana kama hiyo 10000, ni kama dola saba tuu.
 
Hao wazungu wangewatoza dola kumi...nadhani sio ishu sana, ingekuwa ishu kama wabongo wangetozwa buku 10 halafu watasha buku 5.
 
Wakamuliwe tuu si waliuibia hao enzi za utumwaaa na mpaka leo wanatukamua madini yetu
 
Huo ni ubaguzi wa hali ya juu! lakini ndiyo hali halisi ukila na wewe ukumbuke kuliwa
 
Zipo hata baadhi ya hoteli zinatoa bei tofauti kati ya wakazi na wageni, ukipanda pia boti kwenda Znz jaribu tu ulizia pale kwenye ofisi zao bei inayolipwa na wenyeji ni tofauti na wageni............
 
Back
Top Bottom