Tanzania ukijua kuongea Kiingereza unaonekana msomi

Mkuu zagarinojo mbona simple tu tena jibu liko kwenye uzi wako teyari, if you don't want to depend on others kwanza jitawale kiuchumi/maendeleo ya viwanda and the like, otherwise you will continue thinking that you are not developed without speaking English/others language. Refer to U.S, German, China, Russia, Europe, Uarabuni na kwengineko first things first wamejitawala kiuchumi and they are speaking their own language. So your comparison (China sijui U.A.E na Tz) isn't even 10% applying. I suggest you highly note that!
 
Tanzania ndio nchi pekee mtu akijua kuongea Kiingereza anaonekana ni Msomi.

Hata wazazi wakiwapeleka watoto wao shule zao za English Medium fahari yao ni kuona mtoto anajua kuongea Kiingereza.

Ila kwa nchi nyingine. Kwa mfano nchi ya Israel kuna wasomi na wanasayansi wengi ambao hawatumii Kiingereza.

Hata nchi za Uarabuni Kama U.A.E hazitumii lugha ya Kiingereza katika masomo na watu wake ni wasomi.

Hata China nchi yenye maendeleo ya Viwanda duniani, hawatumii kingereza katika mfumo wa elimu ila kuna wasomi wengi tu.
Hizo nchi ulizotaja lugha inayotumika kufundisha ni ipi? Jibu ni kwamba siyo Kingereza. Sitoshangaa msomi wa CHina au urusi kutojua kingereza maana wanajifunza kwa lugha yao. Ila nitashangaa msomi wa Tanzania ambaye ana degree asijue kingereza nitakuwa na mashaka na ufaulu wake. Sisemi aongee kama native speaker, lakini walau aongee fluently.

Wanaopinga usomi na kingereza Tanzania mifano watakayokupa ni ya nchi ambayo elimu yao inatolewa kwa lugha tofauti na Kingereza kama Urusi, China, Belgium, Sweden, Germany, Japan, Korea Kusini jambo ambalo ni kichekesho kwanini usitoe mifano kama ya wasomi wa India, South Africa, Nigeria, Kenya, na nchi nyingine ambazo nao wanatumia mfumo wa Kingereza katika ufundishaji?
 
Yes, I meant rich not reach! Nina kawaida ya kuto proofread posts on JF! Huwa sioni sababu ya kufanya hivyo..... JF is too local to consume my time proofreading what I write!
I could have been considered you gentleman/woman, if you could have positively agree that, we, as human beings are susceptible to faults/mistakes of any nature. Therefore, reducing this platform into localised forum as you mentioned, sounds uncivilised and weird.
 
Yes, I meant rich not reach! Nina kawaida ya kuto proofread posts on JF! Huwa sioni sababu ya kufanya hivyo..... JF is too local to consume my time proofreading what I write!
Mkuu I highly deprecate this, JamiiForums is superb 💪
 
Tanzania ni nchi yenye watu wa maajabu,
Wanaongea ngeli/kiingereza pia waonewa wivu na chuki!?!
Mnapoteza muda kuwajadili;.
 
Umenena vyema sana mkuu...kuna siku nipo barcelona nahangaika kuuliza kitu fulani kwa kingereza, ,,kila ninayemfata ananikwepa,,
Mwisho nikamkuta jamaa fulani akanijibu huku anacheka ,this is not an English country.

Duu..nilijiona mjinga sana

Kumbe kile kingereza tunachotambia huku bongo kuna watu wala hawashtuki.

Wala hawana mpango nacho.
Hizo nchi ulizotaja lugha inayotumika kufundisha ni ipi? Jibu ni kwamba siyo Kingereza. Sitoshangaa msomi wa CHina au urusi kutojua kingereza maana wanajifunza kwa lugha yao. Ila nitashangaa msomi wa Tanzania ambaye ana degree asijue kingereza nitakuwa na mashaka na ufaulu wake. Sisemi aongee kama native speaker, lakini walau aongee fluently.

Wanaopinga usomi na kingereza Tanzania mifano watakayokupa ni ya nchi ambayo elimu yao inatolewa kwa lugha tofauti na Kingereza kama Urusi, China, Belgium, Sweden, Germany, Japan, Korea Kusini jambo ambalo ni kichekesho kwanini usitoe mifano kama ya wasomi wa India, South Africa, Nigeria, Kenya, na nchi nyingine ambazo nao wanatumia mfumo wa Kingereza katika ufundishaji?
 
Hizo nchi ulizotaja lugha inayotumika kufundisha ni ipi? Jibu ni kwamba siyo Kingereza. Sitoshangaa msomi wa CHina au urusi kutojua kingereza maana wanajifunza kwa lugha yao. Ila nitashangaa msomi wa Tanzania ambaye ana degree asijue kingereza nitakuwa na mashaka na ufaulu wake. Sisemi aongee kama native speaker, lakini walau aongee fluently.

Wanaopinga usomi na kingereza Tanzania mifano watakayokupa ni ya nchi ambayo elimu yao inatolewa kwa lugha tofauti na Kingereza kama Urusi, China, Belgium, Sweden, Germany, Japan, Korea Kusini jambo ambalo ni kichekesho kwanini usitoe mifano kama ya wasomi wa India, South Africa, Nigeria, Kenya, na nchi nyingine ambazo nao wanatumia mfumo wa Kingereza katika ufundishaji?
Bado kingereza ni lugha tu kama zingine mkuu,,
Sio kigezo cha mtu kujiona msomi kisa anajuwa kingereza,,
Kumbuka kama ukisoma English vizuri hata form 4 inakutosha kuwa fluently ktk kingereza,,je ukiishia hapo pia utakuwa ni msomi?
 
Haifuti ukweli kuwa bado Kingereza kwa nchi ni factor kubwa ya kujua kama mtu kasoma au hakusoma maana ndyo lugha ya kufundishia. Sasa hayo mengine ya kwamba kasoma mpaka level gani yatafuata baadae.

Yaani ni kama mwanamke, uzuri wake wa nje unakuvutia na kusema huyu dada ni mzuri, sasa hayo masuala ya tabia na kama ana roho nzuri yatafuata baadae ili kukamilisha the whole package.
 
Lakini bado tunasema sisi ni taifa huru kivipi na wakati bado tunatumia kiingereza ambayo ni lugha ya kikoloni...
Hatufikiri Kama wasomi wangekuwa wengi endapo tungetumia kiswahili
Sasa kama vitu vyote vya wa wakoloni ni vibaya, anza kuachana kwanza na mavazi yao, dini na technology kabla hujakomalia lugha
 
Bado kingereza ni lugha tu kama zingine mkuu,,
Sio kigezo cha mtu kujiona msomi kisa anajuwa kingereza,,
Kumbuka kama ukisoma English vizuri hata form 4 inakutosha kuwa fluently ktk kingereza,,je ukiishia hapo pia utakuwa ni msomi?
Kwako Msomi ni mtu ea level ipi kielimu ?
 
Lugha mama ni kiswahili, kote mtaani marafiki ndugu na jamaa huzungumza kiswahili na huko ndiko MTU hujifunza na kutumia lugha Fulani..

Ni shuleni pekee ndipo unaweza jifunza Kiingereza na ndiyo uhalisia ulivyo..

Ama point yako ni ipi
 
Tanzania ndio nchi pekee mtu akijua kuongea Kiingereza anaonekana ni Msomi.

Hata wazazi wakiwapeleka watoto wao shule zao za English Medium fahari yao ni kuona mtoto anajua kuongea Kiingereza.

Ila kwa nchi nyingine. Kwa mfano nchi ya Israel kuna wasomi na wanasayansi wengi ambao hawatumii Kiingereza.

Hata nchi za Uarabuni Kama U.A.E hazitumii lugha ya Kiingereza katika masomo na watu wake ni wasomi.

Hata China nchi yenye maendeleo ya Viwanda duniani, hawatumii kingereza katika mfumo wa elimu ila kuna wasomi wengi tu.
Hlggff
 
Kingereza ni lugha moja muhimu sana duniani. Kwa watanzania kwa sababu za kihistoria lugha kubwa ziko mbili kiswahili na kingereza. Wazungumzaji wa kiswahili ni wengi kuliko wa kingereza. Kingereza tunakisoma kama lugha ya pili kwa wengi wote na ndio lugha inayotumiwa kuanzia secondary hadi vyuo vikuu ukiacha wale wa english medium. Hivyo kwa ujumla kujua kingereza ni ishara moja wapo ya kwenda shule, kusoma na labda usomi.
Umuhimu wa kiingereza utauona ukienda nchi ambazo lugha yake kubwa si kingereza: Scandnavia countries kwa mfano karibu vijana wote wa vyuo vikuu wanajua kingereza hata kama darasani lugha yao kubwa ni ya kwao. Vyuo vingi nje ya english speaking world vimeanzisha degree zinazofundishwa kwa kiingereza tupu-check France na Germany nchi ambazo wanajivunia sana lugha zao na wanaweza kukudis ukiwauliza kitu kwa kiingereza mtaani,lakini vyuoni na wasomi wao wanajua kingereza.
Najua wengi tungetaka hata elimu yetu iwe kwa kiswahili toka kindergarten hadi vyuo vikuu, lakiniukweli kiswahili chetu bado hakina uwezo wa kubeba masomo hayo ukiacha somo lenyewe la kiswahili. Tukitaka kufika huko lazima tuwe na mpango kabambe wa muda mrefu wa kuwekeza na kujenga kiswahili. Lakini hata hapo tutakapofikia hilo kiingereza bado kitakuwa lugha inayoashiria kusoma na usomi.
Elimu ya masafa kwa sasa inakuwa kitu muhimu kwa wale ambao wanataka kujiendeleza baadaya darasa la 7, form 4 na 6 na hata chuo. Kama hujui kingereza basi elimu hii itakupita kushto dawa yake ni kujua kingereza.
Hata wasomi wetu waliosomea kwenye non english speaking countries wanajua bila kingereza hawawezi kufanya kazi zao kwa ufanisi.
 
Nafikiri kuna haja ya kutofautisha kusoma na kuwa msomi. Siyo kila aliyesoma ni msomi ingawapo kila msomi lazima awe amesoma. Watanzania kwa mbembwe zetu tuna aminishana kuwa mtu aliyesoma basi ni msomi.
Sidhani kama mwanangu akifahamu kiingereza basi hiyo inanifanya nione fahari bali itanifanya nisikie furaha. Somo lingine ni hisibati. Sababu kuu ya kujisikia hivyo ni kuwa masomo haya mawili ni masomo ya msingi katika elimu ya mwanafunzi hasa kama anaendelea na masomo yake.
Hao wasomi kwa mfano wa israel unasema hawatumii kingereza, hii haiwezi kuwa kweli kwa sababu lugha kubwa ya science (natural science na social science) ni kingereza na machapisho mengi yako kwenye lugha hiyo na wao ili wapublish kwenye international journals inawasaidia kujua kingereza.
 
Kingereza ni lugha moja muhimu sana duniani. Kwa watanzania kwa sababu za kihistoria lugha kubwa ziko mbili kiswahili na kingereza. Wazungumzaji wa kiswahili ni wengi kuliko wa kingereza. Kingereza tunakisoma kama lugha ya pili kwa wengi wote na ndio lugha inayotumiwa kuanzia secondary hadi vyuo vikuu ukiacha wale wa english medium. Hivyo kwa ujumla kujua kingereza ni ishara moja wapo ya kwenda shule, kusoma na labda usomi.
Umuhimu wa kiingereza utauona ukienda nchi ambazo lugha yake kubwa si kingereza: Scandnavia countries kwa mfano karibu vijana wote wa vyuo vikuu wanajua kingereza hata kama darasani lugha yao kubwa ni ya kwao. Vyuo vingi nje ya english speaking world vimeanzisha degree zinazofundishwa kwa kiingereza tupu-check France na Germany nchi ambazo wanajivunia sana lugha zao na wanaweza kukudis ukiwauliza kitu kwa kiingereza mtaani,lakini vyuoni na wasomi wao wanajua kingereza.
Najua wengi tungetaka hata elimu yetu iwe kwa kiswahili toka kindergarten hadi vyuo vikuu, lakiniukweli kiswahili chetu bado hakina uwezo wa kubeba masomo hayo ukiacha somo lenyewe la kiswahili. Tukitaka kufika huko lazima tuwe na mpango kabambe wa muda mrefu wa kuwekeza na kujenga kiswahili. Lakini hata hapo tutakapofikia hilo kiingereza bado kitakuwa lugha inayoashiria kusoma na usomi.
Elimu ya masafa kwa sasa inakuwa kitu muhimu kwa wale ambao wanataka kujiendeleza baadaya darasa la 7, form 4 na 6 na hata chuo. Kama hujui kingereza basi elimu hii itakupita kushto dawa yake ni kujua kingereza.
Hata wasomi wetu waliosomea kwenye non english speaking countries wanajua bila kingereza hawawezi kufanya kazi zao kwa ufanisi.
But actually I'm not criticising the efforts of elites or individuals In learning English language...
In fact its our second national language...
But my allegations are that English shouldn't be used as an evidence to someone's knowledge
Some people never learned English but have an outstanding knowledge..

How often have we witnessed students who are competent in English speaking but aren't able to connect their ideas and thoughts and come up with logic explanations...
 
Tanzania ndio nchi pekee mtu akijua kuongea Kiingereza anaonekana ni Msomi.

Hata wazazi wakiwapeleka watoto wao shule zao za English Medium fahari yao ni kuona mtoto anajua kuongea Kiingereza.

Ila kwa nchi nyingine. Kwa mfano nchi ya Israel kuna wasomi na wanasayansi wengi ambao hawatumii Kiingereza.

Hata nchi za Uarabuni Kama U.A.E hazitumii lugha ya Kiingereza katika masomo na watu wake ni wasomi.

Hata China nchi yenye maendeleo ya Viwanda duniani, hawatumii kingereza katika mfumo wa elimu ila kuna wasomi wengi tu.
mkuu, sasa hivi uwe pia mshabiki wa timu yoyote ya EPL utaonekana msomi.
Sikiliza wachambuzi wetu wanavojitia kulifahamu soka la England kuliko Wainglishi wenyewe .
 
Tanzania ndio nchi pekee mtu akijua kuongea Kiingereza anaonekana ni Msomi.

Hata wazazi wakiwapeleka watoto wao shule zao za English Medium fahari yao ni kuona mtoto anajua kuongea Kiingereza.

Ila kwa nchi nyingine. Kwa mfano nchi ya Israel kuna wasomi na wanasayansi wengi ambao hawatumii Kiingereza.

Hata nchi za Uarabuni Kama U.A.E hazitumii lugha ya Kiingereza katika masomo na watu wake ni wasomi.

Hata China nchi yenye maendeleo ya Viwanda duniani, hawatumii kingereza katika mfumo wa elimu ila kuna wasomi wengi tu.
NI ULIMBUKENI TU UMEWAJAA WATANZANIA.
SISI LUGHA YETU YA KUWASILIANA MITAANI NI KISWAHILI MTU ANACHANGANYA NA KIINGEREZA ILI AONEKANE MSOMI,HALAFU ENGLISH YENYEWE YA KUKARIRI KWENYE CHEMISTRY,GEOGRAPHY AU POLITICAL SCIENCE WANASHINDWA KUJUA KWAMBA WAKIKUTANA NA WENYE LUGHA YAO WATAONEKANA VILAZA NA HOPELESS.
KWA MFANO NCHI KAMA KENYA NA NIGERIA WANAONGEA KIINGEREZA BAADA YA KUZALIWA TU MAANA YAKE HIYO NDIO WAMEIFANYA LUGHA YAO YA TAIFA WATU WOTE WANAONGEA MTAANI KWA HIYO HAKUNA ANAYEJIGAMBA KWA KUZUNGUMZA KIINGEREZA WALA HAKUNA ATAKAYEKUSHANGAA.
ILA HUKU KWETU MTU ANAONGEA KIINGEREZA KUWATISHIA WATU WAMUONE YEYE MSOMI,NI STUPIDITY YA HALI YA JUU.
 
Back
Top Bottom