BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,772
- 23,163
mufindi? Hakuna la ajabu huko.
Washazoea kuganda
Washazoea kuganda
sio ajabu kiviile ...ni matatizo ya global warming hayo sasa siji ikidondoka nyingi serikali itakuwa na uwezo wa kusimama
Kweli mkuu. Mpiga Nyoka mvua ya mawe kwa kiingereza inaitwa 'hailstorm'. Theluji kwa kiingereza ni 'snow'. Mvua ya mawe inaweza hata kujeruhi na kuleta maafa kama kubomoa vioo na kadhalika. Snow ni nyepesi, laini, kwa wengine inakera lakini ikikuangukia haiumizi.
Mkuu Mpiga Nyoka na wengineo. Mjue kisa cha kuita ni MAAJABU kwenye thread ndio hicho hicho.Hii ni snow - theluji.Siyo Hail storm - mvua ya mawe wala nini.Snow ni fine spray- like.... na pia ilikuwa haijawa thick sana hadi kuweza kukisia ni nchi ngapi. Najua kwenye tropical climate snow ni kitu cha ajabu kwa sababu hizo hizo unazoelezea.Bahati mbaya sikua na camera. Pia naambiwa imeripotiwa na kuonyeshwa live hadi TBC 1 TV Nashangaa kwanini hakuna hata mtu ameona hiyo taarifa habari.Nimewaelewa wakuu ila nadhani mleta maada alimaanisha Hail na sio snow. Hii ni kwasababu katika trapical weather tuna only 3 types of precipitations ambazo ni rainfall, fog na kwa kiasi kidogo Hail. Na tofauti ya snow na hail ni size ya ice particles.
Kweli mkuu. Mpiga Nyoka mvua ya mawe kwa kiingereza inaitwa 'hailstorm'. Theluji kwa kiingereza ni 'snow'. Mvua ya mawe inaweza hata kujeruhi na kuleta maafa kama kubomoa vioo na kadhalika. Snow ni nyepesi, laini, kwa wengine inakera lakini ikikuangukia haiumizi.
Snow inaanguka huko Mufindi utadhani tuko yuropa na marekani!
Mwisho wa Dunia unakaribia?
Je Watanzania wamejiandaa kwa hali ya hewa ya namna hii?