Tanzania tunahitaji uongozi wa namna hii

lowasa haipendi nchi yake anawaza kujitajirisha tu yeye

lowasa angeweza kumfanya RA hivyo?
huyo jamaa ndiyo RA wa russia...


Nadhani jamaa alimaanisha ndiyo Lowassa huwa anafanya hivyo, tuache habari yake ya ufisadi MSISIMKO WA KUWA AZIRI MKUU YUPO LIVE LOWASSA ALIUONYESHA KULIKO MTOTO WA MKULIMA. Tungepata PM clean ambaye angekuwa na vitabia 'vizuri' vya Lowasa au Mrema ngau nchi inapendeza.
 
Asante kwa kutukumbusha maana mara nyingi tunajisahau kuwa mambo yanabadilika
 
lowasa haipendi nchi yake anawaza kujitajirisha tu yeye

lowasa angeweza kumfanya RA hivyo?
huyo jamaa ndiyo RA wa russia...

Style hii ya kuwawajibisha watu hapohapo Lowasa anayo, whether it is effective or not that is another issue.
Putin naye siyo kiongozi mzuri kihivyo, Demokrasi imerudi nyuma kidogo huko kulinganisha na enzi za Yeltsin. Magavana siku hizi wanateuliwa kama Bongo wakuu wa mikoa wanavyoteuliwa, zamani walikuwa wanachaguliwa[i stand to be corrected]. Waandishi wanauawa na wapinzani kuwekewa sumu. Uchumi wao pia umekua si kwa kwa ajili ya uongozi wa Putin bali bei nzuri ya mafuta.
 
Back
Top Bottom