Tanzania tunahitaji mapinduzi ya kisiasa

houseboy

Member
Jul 22, 2007
39
3
MFUMO WA SIASA---Tanzania ni sehemu ndogo sana ila ina serikali kubwa sana,ni fedha nyingi sana zinatumika kuwalipa Mawaziri,naibu mawaziri na makatibu.kwa mtazamo wangu tunatakiwa tuwe na wizara zisizozidi tano .wizara ya ulinzi,wizara ya mambo ya nnje,wizara ya mambo ya ndani,wizara ya maendeleo na wizara ya elimu,hizi wizara pamoja na statehouse ndio iwe serikali kuu,na mawazili wao wawe wanachaguliwa na Raisi na wawe wanapitiswa na bunge,baada ya kufanyiwa na kuchunguzwa kama wana uwezo wa kuongoza na bunge,kwa kufanya hivi tutapunguza galama nyingi sana,pili kuwe na wakuu wa mikoa ambao wanachaguliwa na wananchi.hawa wawe wanasimamia ukusanyaji wa kodi katika mikoa yao,na mipango ya maendeleo ya mikoa yao,madiwani wakuu wa wilaya wawe wanafanya kazi na mkuu wa mkoa kupanga kila kitu cha mkoa husika.pili kila mkoa uwe na wabunge wawili tu .
 
Tanzania nadhani sasa tuweke maengo makubwa katika kukuza uchumi na kuboresha mfumo wa elimu na viwanda ili tusimamie uchumi wetu na kupunguza umasikini lakini cha ajabu muda mwingi tunaongelea siasa tuu lazima ifike wakati jamii ijifunze kufanya kazi na pindi jamii ikielimika basi iitakuwa ni kitu cha kidogo kufanya maboresho kwenye mfumo wa siasa na uongozi
 
MFUMO WA SIASA---Tanzania ni sehemu ndogo sana ila ina serikali kubwa sana,ni fedha nyingi sana zinatumika kuwalipa Mawaziri,naibu mawaziri na makatibu.kwa mtazamo wangu tunatakiwa tuwe na wizara zisizozidi tano .wizara ya ulinzi,wizara ya mambo ya nnje,wizara ya mambo ya ndani,wizara ya maendeleo na wizara ya elimu,hizi wizara pamoja na statehouse ndio iwe serikali kuu,na mawazili wao wawe wanachaguliwa na Raisi na wawe wanapitiswa na bunge,baada ya kufanyiwa na kuchunguzwa kama wana uwezo wa kuongoza na bunge,kwa kufanya hivi tutapunguza galama nyingi sana,pili kuwe na wakuu wa mikoa ambao wanachaguliwa na wananchi.hawa wawe wanasimamia ukusanyaji wa kodi katika mikoa yao,na mipango ya maendeleo ya mikoa yao,madiwani wakuu wa wilaya wawe wanafanya kazi na mkuu wa mkoa kupanga kila kitu cha mkoa husika.pili kila mkoa uwe na wabunge wawili tu .
Hata kama nchi ingekuwa na ukubwa kama ukubwa wa mkoa wa mwanza tu, pendekezo lako lisingewezekana chifu. sasa sembuse na hii nchi ambayo ina kilomita za mraba 858,292.5? na watu ambao wako takribani milioni 47? tuwe na wizara tano tu? kazi ipo.
 
waziri mmoja anatumia #I $million kwa mwaka,je 16 ?manaibu wao na makatibu .wizara tano nyingi sana.vipi jamaa hawa wakistaafu wanalipwa kiasi gani?.pato zima la nnchi linatumika kulipa viongozi tu.
 
Yap Godwine siasa nzuri uchumi mzuri,itakua raisi kujua ni nani mtendji mzuri wa kazi za umma,kwa mfumo wa sasa raisi anakua kama mungu anachaua kila mtu mwisho kiranja wa shule atachagulia na raisi.
 
mfumo wa siasa---tanzania ni sehemu ndogo sana ila ina serikali kubwa sana,ni fedha nyingi sana zinatumika kuwalipa mawaziri,naibu mawaziri na makatibu.kwa mtazamo wangu tunatakiwa tuwe na wizara zisizozidi tano .wizara ya ulinzi,wizara ya mambo ya nnje,wizara ya mambo ya ndani,wizara ya maendeleo na wizara ya elimu,hizi wizara pamoja na statehouse ndio iwe serikali kuu,na mawazili wao wawe wanachaguliwa na raisi na wawe wanapitiswa na bunge,baada ya kufanyiwa na kuchunguzwa kama wana uwezo wa kuongoza na bunge,kwa kufanya hivi tutapunguza galama nyingi sana,pili kuwe na wakuu wa mikoa ambao wanachaguliwa na wananchi.hawa wawe wanasimamia ukusanyaji wa kodi katika mikoa yao,na mipango ya maendeleo ya mikoa yao,madiwani wakuu wa wilaya wawe wanafanya kazi na mkuu wa mkoa kupanga kila kitu cha mkoa husika.pili kila mkoa uwe na wabunge wawili tu .
kuwa na wizara mbalimbali si tatizo, tatizo ni uwajibikaji na utekelezaji wa kazi za wizara husika ,hata tukiwa na wizara hizo tano bila uwajibikaji na utekelezaji wa kazi kwa wanao husika ni sawa na kutunga sheria bila utekelezaji.
 
Back
Top Bottom