Tanzania tuna la kujifunza: Kenya hali ni Tete uchumi umeporomoka vibaya sana na wagonjwa wanaongezeka sana

Sio lazima nisafiri kujua kitu technology ipo
Kenya wakiwa na hali mbaya ujue sisi tumo kaburini kabisa. Unajaribu kulinganisha usiku na mchana.

Tatizo ulilonalo mleta mada ni kuwa wewe ni wa hapa hapa. Huna exposure yoyote. Hujui kitu.

Odhis *
 
Watu wa hizi nchi za Afrika Mashariki kuchambana na kushindana kuhusu Corona sio vizuri kabisa.

Nadhani tumechelewa, ingependeza wakuu wa hizi nchi kukutana au kuwasiliana wakitanguliwa na mawaziri wao husika kukubaliana namna ya kuukabili ugonjwa huu.

Hata huku mitaani tunakoishi. Kila kaya ikiwa na mikakati binafsi bila mtaa mzima kuwa na mfumo mmoja haisaidii sana kudhibiti tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu kenya hali ni tete sana, Wananchi wa kenya wameijia juu serkali ya kenyatta kwa kusababisha uchumi wa kenya kuporomoka.

Ndani ya Mwezi moja serkali impteza bilion $170 za mapato.

Wananchi hawana chakula, ajira zimepotea mbaya zaidi Serkali haitoi chochote kuwahudumia Wananchi

Uhuru kenyatta anahaha anataka kuchukua mkondo wa Tanzania awafungulie Wananchi wakatafute riziki

Kwa hili serkali ya Tanzania ilicheza vizuri sana

Tulisema mwanzo kuwa kenya, Uganda na Rwanda zinacheza mchezo wa kujificha kwenye shamba la karanga lazima watajirudi tu hapa

Kongole Rais Magufuli kwa kuona mbali, corona inathibitiwa na Wananchi wanaendelea kuchapa kazi
Ni mapema sana kushangilia na kumcheka mwenzio aliyefungia mlango hatari hali wewe mlango wako uko wazi na hatari ile ile inakunyemelea. Tusubiri tuone. Tukificha maradhi au taarifa kilio kitatuumbua.
 
Hakuna anayecheka tumesema tujifunze Kitu

Nasoma bandiko hili na kauli ya Rais Uhuru aliyoitoa hivi punde ya kuongeza siku 21 kibano cha kutokutoka ama kuingia katika baadhi ya miji kama Nairobi, Mandera, Mombasa, Kilifi...

Tuache kutunga vitu...kwa mihemko ya kisiasa...ninyi ndio mnasababisha forum hii ionekane ya malofa kwa kuleta habari za uzushi, zisizo na uhakika kwa tamaa za kisiasa.
 
Nimeona pia
Screenshot_20200425-160454~2.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu kenya hali ni tete sana, Wananchi wa kenya wameijia juu serkali ya kenyatta kwa kusababisha uchumi wa kenya kuporomoka.

Ndani ya Mwezi moja serkali impteza bilion $170 za mapato.

Wananchi hawana chakula, ajira zimepotea mbaya zaidi Serkali haitoi chochote kuwahudumia Wananchi

Uhuru kenyatta anahaha anataka kuchukua mkondo wa Tanzania awafungulie Wananchi wakatafute riziki

Kwa hili serkali ya Tanzania ilicheza vizuri sana

Tulisema mwanzo kuwa kenya, Uganda na Rwanda zinacheza mchezo wa kujificha kwenye shamba la karanga lazima watajirudi tu hapa

Kongole Rais Magufuli kwa kuona mbali, corona inathibitiwa na Wananchi wanaendelea kuchapa kazi
Mh! Dola bilioni 170?? Are you serious?
GDP ya Kenya haifiki hata Dola bilioni 80, how comes wapoteze kiasi hicho cha mapato?

Japo naunga mkono hoja yako, kujilockdown ni ujinga maana itakubidi ujifungie hadi corona itakapoisha duniani na inaisha lini?

Ukijifungulia kabla unaikuta tu inakufanya-fanya
 
Wakuu kenya hali ni tete sana, Wananchi wa kenya wameijia juu serkali ya kenyatta kwa kusababisha uchumi wa kenya kuporomoka.

Ndani ya Mwezi moja serkali impteza bilion $170 za mapato.

Wananchi hawana chakula, ajira zimepotea mbaya zaidi Serkali haitoi chochote kuwahudumia Wananchi

Uhuru kenyatta anahaha anataka kuchukua mkondo wa Tanzania awafungulie Wananchi wakatafute riziki

Kwa hili serkali ya Tanzania ilicheza vizuri sana

Tulisema mwanzo kuwa kenya, Uganda na Rwanda zinacheza mchezo wa kujificha kwenye shamba la karanga lazima watajirudi tu hapa

Kongole Rais Magufuli kwa kuona mbali, corona inathibitiwa na Wananchi wanaendelea kuchapa kazi

Billion 170 dollar

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mbona kenya haina lockdown ipo na curfew saa moja usiku watu wawe ndani. Na watu wanafanya kaz kama kawaida. Hiki kiwanda chako cha kuzalisha uongo kipo wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hem'concentrate na nchi yako kwanza, unagugumia ya jirani wakati kwako moto unawaka. Unadhani wapi ambapo uchumi hautaporomoka, fanya research upne kama kwako Tanzania uchumi bado upo stable. Watanzania sisi ukitusoma unaweza shangaa sana asee.
 
"Wanacheza mchezo wa kujificha kwenye shamba la karanga",
Walichobakiza ni kumpigia simu Trump aokoe jahazi

Back
Top Bottom