Kama bia yetu ndo umetoa hizi habari hata sipotezi muda ziko very subjective.
Sent using Jamii Forums mobile app

Kenya wakiwa na hali mbaya ujue sisi tumo kaburini kabisa. Unajaribu kulinganisha usiku na mchana.
Tatizo ulilonalo mleta mada ni kuwa wewe ni wa hapa hapa. Huna exposure yoyote. Hujui kitu.
Odhis *
Kukwambia habari isiyo na source ni porojo ni kukutukana?Angalia ulivyo aandika
Ni mapema sana kushangilia na kumcheka mwenzio aliyefungia mlango hatari hali wewe mlango wako uko wazi na hatari ile ile inakunyemelea. Tusubiri tuone. Tukificha maradhi au taarifa kilio kitatuumbua.Wakuu kenya hali ni tete sana, Wananchi wa kenya wameijia juu serkali ya kenyatta kwa kusababisha uchumi wa kenya kuporomoka.
Ndani ya Mwezi moja serkali impteza bilion $170 za mapato.
Wananchi hawana chakula, ajira zimepotea mbaya zaidi Serkali haitoi chochote kuwahudumia Wananchi
Uhuru kenyatta anahaha anataka kuchukua mkondo wa Tanzania awafungulie Wananchi wakatafute riziki
Kwa hili serkali ya Tanzania ilicheza vizuri sana
Tulisema mwanzo kuwa kenya, Uganda na Rwanda zinacheza mchezo wa kujificha kwenye shamba la karanga lazima watajirudi tu hapa
Kongole Rais Magufuli kwa kuona mbali, corona inathibitiwa na Wananchi wanaendelea kuchapa kazi
Hizi porojo zisizokuwa na source ni za vijiwe vya kahawa
Tetesi tokea lini zikawa porojo?Ila zile za watu wanazikwa kila sehemu ya dar kisa corona ndo porojo za ukweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mapema sana kushangilia na kumcheka mwenzio aliyefungia mlango hatari hali wewe mlango wako uko wazi na hatari ile ile inakunyemelea. Tusubiri tuone. Tukificha maradhi au taarifa kilio kitatuumbua.
Wakuu kenya hali ni tete sana, Wananchi wa kenya wameijia juu serkali ya kenyatta kwa kusababisha uchumi wa kenya kuporomoka.
Ndani ya Mwezi moja serkali impteza bilion $170 za mapato.
Wananchi hawana chakula, ajira zimepotea mbaya zaidi Serkali haitoi chochote kuwahudumia Wananchi
Uhuru kenyatta anahaha anataka kuchukua mkondo wa Tanzania awafungulie Wananchi wakatafute riziki
Kwa hili serkali ya Tanzania ilicheza vizuri sana
Tulisema mwanzo kuwa kenya, Uganda na Rwanda zinacheza mchezo wa kujificha kwenye shamba la karanga lazima watajirudi tu hapa
Kongole Rais Magufuli kwa kuona mbali, corona inathibitiwa na Wananchi wanaendelea kuchapa kazi
Nimeona piaNasoma bandiko hili na kauli ya Rais Uhuru aliyoitoa hivi punde ya kuongeza siku 21 kibano cha kutokutoka ama kuingia katika baadhi ya miji kama Nairobi, Mandera, Mombasa, Kilifi...
Tuache kutunga vitu...kwa mihemko ya kisiasa...ninyi ndio mnasababisha forum hii ionekane ya malofa kwa kuleta habari za uzushi, zisizo na uhakika kwa tamaa za kisiasa.
Mh! Dola bilioni 170?? Are you serious?Wakuu kenya hali ni tete sana, Wananchi wa kenya wameijia juu serkali ya kenyatta kwa kusababisha uchumi wa kenya kuporomoka.
Ndani ya Mwezi moja serkali impteza bilion $170 za mapato.
Wananchi hawana chakula, ajira zimepotea mbaya zaidi Serkali haitoi chochote kuwahudumia Wananchi
Uhuru kenyatta anahaha anataka kuchukua mkondo wa Tanzania awafungulie Wananchi wakatafute riziki
Kwa hili serkali ya Tanzania ilicheza vizuri sana
Tulisema mwanzo kuwa kenya, Uganda na Rwanda zinacheza mchezo wa kujificha kwenye shamba la karanga lazima watajirudi tu hapa
Kongole Rais Magufuli kwa kuona mbali, corona inathibitiwa na Wananchi wanaendelea kuchapa kazi
Wakuu kenya hali ni tete sana, Wananchi wa kenya wameijia juu serkali ya kenyatta kwa kusababisha uchumi wa kenya kuporomoka.
Ndani ya Mwezi moja serkali impteza bilion $170 za mapato.
Wananchi hawana chakula, ajira zimepotea mbaya zaidi Serkali haitoi chochote kuwahudumia Wananchi
Uhuru kenyatta anahaha anataka kuchukua mkondo wa Tanzania awafungulie Wananchi wakatafute riziki
Kwa hili serkali ya Tanzania ilicheza vizuri sana
Tulisema mwanzo kuwa kenya, Uganda na Rwanda zinacheza mchezo wa kujificha kwenye shamba la karanga lazima watajirudi tu hapa
Kongole Rais Magufuli kwa kuona mbali, corona inathibitiwa na Wananchi wanaendelea kuchapa kazi
Mbona kenya haina lockdown ipo na curfew saa moja usiku watu wawe ndani. Na watu wanafanya kaz kama kawaida. Hiki kiwanda chako cha kuzalisha uongo kipo wapi?Wakuu kenya hali ni tete sana, Wananchi wa kenya wameijia juu serkali ya kenyatta kwa kusababisha uchumi wa kenya kuporomoka.
Ndani ya Mwezi moja serkali impteza bilion $170 za mapato.
Wananchi hawana chakula, ajira zimepotea mbaya zaidi Serkali haitoi chochote kuwahudumia Wananchi
Uhuru kenyatta anahaha anataka kuchukua mkondo wa Tanzania awafungulie Wananchi wakatafute riziki
Kwa hili serkali ya Tanzania ilicheza vizuri sana
Tulisema mwanzo kuwa kenya, Uganda na Rwanda zinacheza mchezo wa kujificha kwenye shamba la karanga lazima watajirudi tu hapa
Kongole Rais Magufuli kwa kuona mbali, corona inathibitiwa na Wananchi wanaendelea kuchapa kazi
Wakuu kenya hali ni tete sana, Wananchi wa kenya wameijia juu serkali ya kenyatta kwa kusababisha uchumi wa kenya kuporomoka.
Ndani ya Mwezi moja serkali impteza bilion $170 za mapato.
Wananchi hawana chakula, ajira zimepotea mbaya zaidi Serkali haitoi chochote kuwahudumia Wananchi
Uhuru kenyatta anahaha anataka kuchukua mkondo wa Tanzania awafungulie Wananchi wakatafute riziki
Kwa hili serkali ya Tanzania ilicheza vizuri sana
Tulisema mwanzo kuwa kenya, Uganda na Rwanda zinacheza mchezo wa kujificha kwenye shamba la karanga lazima watajirudi tu hapa
Kongole Rais Magufuli kwa kuona mbali, corona inathibitiwa na Wananchi wanaendelea kuchapa kazi
"Wanacheza mchezo wa kujificha kwenye shamba la karanga",
Walichobakiza ni kumpigia simu Trump aokoe jahazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mtu anaependa kuotea jua kwenye majabali kutafuta vitamin