Dalili zake ni Kupando kwa joto mwilini, kuvuja kwa damu sehemu zote za wazi za mwili, na kutoa kinyesi na mkojo kilichoambatana au kuchanganyika na Damu.
ni hakika sasa ugonjwa umengia nchini,mtoto mmoja miaka 6,ana dalili zote za huu ugonjwaas huu ni msimu wa kahawa na msimu umekubali,hivyo movement to and from Uganda ni nyingi,source my relatives resides there na wametangaziwa hivyo na wataalamu wa Afya! 
Natumaini kwamba Wizara ya Afya ilikuwa na mpango proactive wa kuwa implemented katika hali kama hii, na kwamba ukweli mbaya kwamba ugonjwa huu unaua haraka utamaanisha kwamba angalau hakuna wengi wanaoambukiza. Na mipango ya elimu kwa wananchi kuwakataza mambo yanayohusiana sana na waliyozoea ya kuuguzana na kuzikana kiutamaduni itafanikiwa.
Ama sivyo tunaangalia mwanzo wa epidemic nyingine inayoweza kufanya UKIMWI uonekane cha mtoto.
ebola haiwezi kuwa kama ukimwi kwasababu vimelea vyake vinaua host harakahivyo hata karantini tu yaweza kuconfine ugonjwa.... hiv ni issue nyingine kabisa
Yap, jamaa angu kule kaprove hilo, ingawa jamaa walioko Bk wanakanusha. Waache waendelee kukanusha badala ya kufanya utafiti kuhakikisha. Muingiliano wa watu wa mkoa huo na Ug wala huwezi kuukwepa!
Mkuu, Yule R.M.O sijui alikuwa kanywa viroba? Kakanusha kuwa mgonjwa hajafa ila hajasema kama ni Ebola au siyo. Halafu anailaumu JF wakati JF imepata info Radio one stereo news. Badala ya kuongelea Ebola ye anaishambulia JF.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.