kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 12,332
- 12,646
BRICS ni umoja mpya wa kiulimwengu ulioanzishwa na nchi 5 za awali za Brazil, Russia, India, China na South Afrika wenye lengo la kukwepa vikwazo vya kiuchumi, kisiasa, kijeshi na kijamii kutoka nchi za magharibi kwa nchi nyingine.
Umoja huu unataka kupambana na maamuzi ya upande mmoja yanayoihusu dunia nzima, yanayofanywa na nchi za Magharibi mwa dunia. Umoja huu mpya unataka kupinga dunia yote kutegemea sarafu ya Marekani (Dollar) na Euro kuwa sarafu ya dunia.
Nchi nyingi zinaomba kujiunga na umoja huu mpya ambao utakuwa na mkutano wake mkuu hivi karibuni mwaka huu kule South Afrika.
Swali ni je, Tanzania ijuinge pia na BRICS? Ijiunge kwa sababu gani au isijiunge kwa sababu gani? Kama ijiunge, ijiunge lini?