Tanzania tujiunge na BRICS?

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,318
12,622
BRICS ni umoja mpya wa kiulimwengu ulioanzishwa na nchi 5 za awali za Brazil, Russia, India, China na South Afrika wenye lengo la kukwepa vikwazo vya kiuchumi, kisiasa, kijeshi na kijamii kutoka nchi za magharibi kwa nchi nyingine.

Umoja huu unataka kupambana na maamuzi ya upande mmoja yanayoihusu dunia nzima, yanayofanywa na nchi za Magharibi mwa dunia. Umoja huu mpya unataka kupinga dunia yote kutegemea sarafu ya Marekani (Dollar) na Euro kuwa sarafu ya dunia.

Nchi nyingi zinaomba kujiunga na umoja huu mpya ambao utakuwa na mkutano wake mkuu hivi karibuni mwaka huu kule South Afrika.

Swali ni je, Tanzania ijuinge pia na BRICS? Ijiunge kwa sababu gani au isijiunge kwa sababu gani? Kama ijiunge, ijiunge lini?
 
BRICS ni umoja mpya wa kiulimwengu ulioanzishwa na nchi 5 za awali za Brazil, Russia, India, China na South Afrika wenye lengo la kukwepa vikwazo vya kiuchumi, kisiasa, kijeshi na kijamii kutoka nchi za magharibi kwa nchi nyingine. Umoja huu unataka kupambana na maamuzi ya upande mmoja yanayoihusu dunia nzima yanayofanywa na nchi za magharibi mwa dunia. Umoja huu mpya unataka kupinga dunia yote kutegemea sarafu ya Marekani (Dollar) na Euro kuwa sarafu ya dunia.

Nchi nyingi zinaomba kujiunga na umoja huu mpya ambao utakuwa na mkutano wake mkuu hivi karibuni mwaka huu kule South Afrika.

Swali ni je, Tanzania ijuinge pia na BRICS? Ijiunge kwa sababu gani? au isijiunge kwa sababu gani? kama ijiunge, ijiunge lini?
Russia anafaidika kivipi kutoka BRICS na vita anayoendelea nayo ?
 
BRICS ni umoja mpya wa kiulimwengu ulioanzishwa na nchi 5 za awali za Brazil, Russia, India, China na South Afrika wenye lengo la kukwepa vikwazo vya kiuchumi, kisiasa, kijeshi na kijamii kutoka nchi za magharibi kwa nchi nyingine.

Umoja huu unataka kupambana na maamuzi ya upande mmoja yanayoihusu dunia nzima, yanayofanywa na nchi za Magharibi mwa dunia. Umoja huu mpya unataka kupinga dunia yote kutegemea sarafu ya Marekani (Dollar) na Euro kuwa sarafu ya dunia.

Nchi nyingi zinaomba kujiunga na umoja huu mpya ambao utakuwa na mkutano wake mkuu hivi karibuni mwaka huu kule South Afrika.

Swali ni je, Tanzania ijuinge pia na BRICS? Ijiunge kwa sababu gani au isijiunge kwa sababu gani? Kama ijiunge, ijiunge lini?
Tumeisha jiunga na UAE, intosha. Au huna habari?
 
Hii ndio democrasia halisi. Mbadala ya USA, UK, France kukupa masharti na sheria, hukumu zote duniani.
 
Kwani hizo alliances ni kwa ajili ya mbugila yoyote kujiunga? ingekuwa rahisi namna hiyo mngeshakubaliwa kujiunga NATO. Afterall Tanzania ni non-aligned country.
Kinara wa hiyo non-aligned countries ni India, mbona India?. Sasa unaweza kujua ni kwanini Kiongozi wa Hungary alikuja tz fasta fasta.
 
BRICS wakifanikiwa kuwa na sarafu na mifumo yao ya malipo kama ule wa SWIFT itakuwa haiepukiki kwa nchi yetu kujiunga, moja kwa sababu tunafanya biashara sana na UAE, CHINA NA INDIA(rejea ndege ya mizigo mpya tumezipeleka huko unaweza ona umuhimu wake), pili mfumo mbadala nje ya dola ili kuwa huru kisera na muhimu zaidi kuwa usalama kiuchumi pale uchumi wa US unapokwama-kumbuka tumeathirika kiuchumi pale US economy inapoyumba mf 2008.
 
BRICS ni umoja mpya wa kiulimwengu ulioanzishwa na nchi 5 za awali za Brazil, Russia, India, China na South Afrika wenye lengo la kukwepa vikwazo vya kiuchumi, kisiasa, kijeshi na kijamii kutoka nchi za magharibi kwa nchi nyingine.

Umoja huu unataka kupambana na maamuzi ya upande mmoja yanayoihusu dunia nzima, yanayofanywa na nchi za Magharibi mwa dunia. Umoja huu mpya unataka kupinga dunia yote kutegemea sarafu ya Marekani (Dollar) na Euro kuwa sarafu ya dunia.

Nchi nyingi zinaomba kujiunga na umoja huu mpya ambao utakuwa na mkutano wake mkuu hivi karibuni mwaka huu kule South Afrika.

Swali ni je, Tanzania ijuinge pia na BRICS? Ijiunge kwa sababu gani au isijiunge kwa sababu gani? Kama ijiunge, ijiunge lini?
Acha kupotosha. Idea ya BRIC ilikuwa ya CEO wa Goldman Sachs bank kufanya grouping ya emerging markets yaani Brazil, Russia, India na China. Baadaye China aliomba South Africa iingizwe kuwa na Africa, ikawa BRICS. Haikuanza kama wewe unavyotaka kusema. Idea ya new currency na wengi kujiunga imeanza tu baada ya vita vya Russia kutengwa.

India haikukubali viinchi kama Tz viingizwe. Saudi Arabia, UAE, Iran, Ethiopia na Argentina wameingizwa
 
Azimio la arusha limewashinda mnataka na BRICS
Dunia imeinama kuelekea nchi za Magharibi, Nchi za Magharibi zinatumia sarafu zao, mashirika ya kimataifa na masoko Yao kama Fimbo ya kupigia wengine wote. BRICS ndiye mkombozi kwenye hili.

Mikopo ya World Bank, IMF na kutoka nchi za Magharibi ni kama Kaa la moto kwetu, riba ni kubwa kwa Afrika kuliko nchi nyingine zikikopa. Mikopo Ina mashariti Yao kwetu. Mfano, anakwambia ili upate mkopo lazima uukubali ushoga nchini kwako, au uuze mashirika yenu haya na yale, nk. Ukikotofishana nao wanakuwekea vikwazo vya kiuchumi vinavyoumiza hata watoto wadogo, wanataifisha mali zako ulizoweka kwao. Wakiamua kukupiga watakupiga TU hata kama dunia nzima itapinga wewe kupigwa.

Ni mwafrika mpumbavu TU ambae ataichukia BRICS, usiipende Magharibi kwasababu za kupata mikopo TU na watalii, fikiria zaidi na zaidi.
 
BRICS wakifanikiwa kuwa na sarafu na mifumo yao ya malipo kama ule wa SWIFT itakuwa haiepukiki kwa nchi yetu kujiunga, moja kwa sababu tunafanya biashara sana na UAE, CHINA NA INDIA(rejea ndege ya mizigo mpya tumezipeleka huko unaweza ona umuhimu wake), pili mfumo mbadala nje ya dola ili kuwa huru kisera na muhimu zaidi kuwa usalama kiuchumi pale uchumi wa US unapokwama-kumbuka tumeathirika kiuchumi pale US economy inapoyumba mf 2008.
Ni hatari kubwa kubakia nyumanyuma wakati wa kufanya mabadiliko. Kama Rais wetu wa Sasa angekuwa ni Mwl. Nyerere bila shaka Tanzania ingekuwa sehemu muhimu ya mageuzi haya ya mfumo wa uchumi wa kidunia.
 
Dunia imeinama kuelekea nchi za Magharibi, Nchi za Magharibi zinatumia sarafu zao, mashirika ya kimataifa na masoko Yao kama Fimbo ya kupigia wengine wote. BRICS ndiye mkombozi kwenye hili.

Mikopo ya World Bank, IMF na kutoka nchi za Magharibi ni kama Kaa la moto kwetu, riba ni kubwa kwa Afrika kuliko nchi nyingine zikikopa. Mikopo Ina mashariti Yao kwetu. Mfano, anakwambia ili upate mkopo lazima uukubali ushoga nchini kwako, au uuze mashirika yenu haya na yale, nk. Ukikotofishana nao wanakuwekea vikwazo vya kiuchumi vinavyoumiza hata watoto wadogo, wanataifisha mali zako ulizoweka kwao. Wakiamua kukupiga watakupiga TU hata kama dunia nzima itapinga wewe kupigwa.

Ni mwafrika mpumbavu TU ambae ataichukia BRICS, usiipende Magharibi kwasababu za kupata mikopo TU na watalii, fikiria zaidi na zaidi.
Mnajidanganya sana. Kwanza hizo nchi zote watu wake bado maskini, demokrasia ya shida na pesa zao sio stable na hupangwa na serikali zao.

Hao Hawawezi kufika kokote kwasababu taasisi zote wanazounda zitakuwa controlled na wanasiasa Kama tunavyofanya Tanzania.

Huu ni Umoja wa Wajamaa ambao karibu kila jambo wanalojaribu linawashinda.
 
Acha kupotosha. Idea ya BRIC ilikuwa ya CEO wa Goldman Sachs bank kufanya grouping ya emerging markets yaani Brazil, Russia, India na China. Baadaye China aliomba South Africa iingizwe kuwa na Africa, ikawa BRICS. Haikuanza kama wewe unavyotaka kusema. Idea ya new currency na wengi kujiunga imeanza tu baada ya vita vya Russia kutengwa.

India haikukubali viinchi kama Tz viingizwe. Saudi Arabia, UAE, Iran, Ethiopia na Argentina wameingizwa
Mada haikuwa ya kuelezea historia ya BRICS, mada ni je, Tanzania tujiunge nayo? Kuomba kujiunga na kukubaliwa kijiunga kama mwanachama ni jambo lingine. Kinachoangaliwa ni msimamo thaboti wa kukerwa na namna mambo yalivyo Sasa. Sasa hivi tunashindwa kuulani ushoga hadharani, Sasa tunalalama hatuna dollar kwenye Benki zetu.
 
Mnajidanganya sana. Kwanza hizo nchi zote watu wake bado maskini, demokrasia ya shida na pesa zao sio stable na hupangwa na serikali zao.

Hao Hawawezi kufika kokote kwasababu taasisi zote wanazounda zitakuwa controlled na wanasiasa Kama tunavyofanya Tanzania.

Huu ni Umoja wa Wajamaa ambao karibu kila jambo wanalojaribu linawashinda.
Demokrasia sio kuruhusu ushoga. Mifumo ya uchumi inaangalia mahitaji sio demokrasia. Hata kabla ya ukoloni na ujio wa dollar na Euro jamii ya dunia ilikuwa ikiuziana bidhaa. Afrika na mashariki ya mbali walikuwa wakiuziana bidhaa. Kwanini nitumie Dola kununua vifaranga vya kuku kitoka Kenya? Kwanini lazima nitumie Dola kununua mafuta kutoka Saudi Arabia? Labda nahitaji Dola kununua bidhaa kutoka Marekani TU baasi. Yaani ukimdai Marekani anakwenda kuchapisha TU Dola na kukulipa. Akiona Dola zimekuwa nyingi kwenye mzunguuko anaacha kuchapisha nyingine na kufungia zinazozunguuka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom