Tanzania (Taifa stars) v/s Msumbiji (The Mambas)

Nastaafu kushangilia Staz.

Litimu linaongozwa na matapeli,eti wanabadilisha jezi eti hazipigiki picha kwenye camera.

Bora nibakie Azam na ligi za ulaya.
Go to hell Tifutifu,malinzi na litaifa staz lenu.
 
Hivi ligi ya England inaanza lini? Nimeishoona kufuatilia habari za Taifa Stars ni kujipa presha tu.
Ningekuwa Malinzi ningeanza upya kabisa. Timu ya taifa isimame kushiriki mashindano ya kimataifa angalau kwa miaka miwili, ibadilishwe jina kutoka hili la Taifa Stars kwenda jina lingine linaloakisi utajiri mkubwa ambao tunao (mfano The Tanzanite Stars), tuachane kabisa na akina ngasa badala yake watafutwe wachezi wengine wenye vipaji zaidi na waandaliwe vizuri, baada ya miaka 2 au 3 turudi na uhamasishaji mpya, Lazima tutafanya vizuri.

Sorry kidogo, kwani matokeo ni ngapi ngapi? Hadi dakika ya 80 bao ilikuwa 2-1? Nilijua tulishinda!
 
Tatizo si vyombo wala mitambo bali ni masilahi. Kinachotakiwa ni watu kuingia uwanjani kwa kukata tiketi kwa wingi ili kujaza mifuko.Kama ni kuuona huo mtanange utapatikana kwenye marudio na si muhimu tuonwe live kwao masilahi kwanza mengine baadae.

Hata hivyo Timu hii inatakiwa mazoezi zaidi ya kujinoa kwani kiwango walichoonesha leo wakiwa nyumbani bado ni cha chini mno.

Ikienda Msumbuji na kiwango walichoonesha leo watarudi toka huko Msumbuji wameroa mvua ya magoli. Kutoka kwa sare mbili kwa mbili huku wakiwa mbele ya maelfu ya mashabiki wao tena kwa tabu kubwa ni ishara kuwa kama hawatarekebisha makosa yao waliyoyafanya leo watarudi kutoka kwenye mchezo wa marudiano kwa aibu kubwa.

Dalili zimeonesha wasipojirekebisha watabamizwa mabao yasiyohesabika.

Lakini huenda tunasema haya kwa kupoteza muda wetu bure tu Hii ni kutokana na baadhi wachezaji wetu kuonekana kutokuwa na jitihada za zati. Kwa kile kinachoonekana NA TUNACHOFIKIRI NI KWAMBA wao wanajali kutembea tu. Wafungwe, wasifunge watakuwa wamepakia pipa kujivinjari. Wenzetu hawa huenda wanafurahia mikwanja na kutembea maana hivyo vipo wafungwe au wasifungwe.Hawajui ni kwa namna kiasi gani wanavyochezea dhamana wanayopewa na Watanzania.

TAIFA STAR TUMECHOKA KUFUNGWA KILA MARA.
 
Siku zote uwa naifananisha Taifa Stars na CCM. Ni kwa sababu wachezji ni wale wale tu (recycled toka Azam, Simba na Yanga) vipaji hawana ila ubabaishaji tu. Katika mpira wachezaji hutumia mbinu na vipaji ila hawa wetu wao ni uchawi tu. Dunia ya leo bado mnabeza uchawi wakati wenzenu wanatumia vipaji? Kwa hali hii ndiyo maana hata Djibouti ikija hapa Bongo ni kutukandamiza tu kama hatuna akili. Watu miaka yote wako maporini kupigana vita, wanajiandaa siku moja kuja kucheza na Tanzania tunakula kichapo wakati tunakaa kambini mwezi mzima. Ushauri wangu: Kamata wachezaji wote wa Taifa Stars, tia ndani ya ndege mbovu na kuwazamisha bahari ya Hindi.
 
Kuanzia leo nimeacha kuishabikia hii taifa starz hadi hapo baadae watakapobadilika.
 
Acha tuliokunywa maji ya bendera tuendelee kuibeba bendera ya Taifa letu.
Maendeleo siyo lelemama.
 
Hivi ngassa anakipaji au ni kadigidigi kanaruka ruka uwanjan!!! Cdhan anaweza kunipita kama akiwa anacheza timu pinzan!!
 
Siku zote uwa naifananisha Taifa Stars na CCM. Ni kwa sababu wachezji ni wale wale tu (recycled toka Azam, Simba na Yanga) vipaji hawana ila ubabaishaji tu. Katika mpira wachezaji hutumia mbinu na vipaji ila hawa wetu wao ni uchawi tu. Dunia ya leo bado mnabeza uchawi wakati wenzenu wanatumia vipaji? Kwa hali hii ndiyo maana hata Djibouti ikija hapa Bongo ni kutukandamiza tu kama hatuna akili. Watu miaka yote wako maporini kupigana vita, wanajiandaa siku moja kuja kucheza na Tanzania tunakula kichapo wakati tunakaa kambini mwezi mzima. Ushauri wangu: Kamata wachezaji wote wa Taifa Stars, tia ndani ya ndege mbovu na kuwazamisha bahari ya Hindi.

Hahahaaaaaaaaaa xo unamaanisha hawa wachezaji wangepandishwa kwenye malaysia airlines coz 2cngejua wameelekea wap now!! Hahaaaaa...
 
Hahahaaaaaaaaaa xo unamaanisha hawa wachezaji wangepandishwa kwenye malaysia airlines coz 2cngejua wameelekea wap now!! Hahaaaaa...

Ndiyo maana yake, wapotezewe tu mbali. Watu tunataka vipaji na mpira ulio na akili wao wanatuletea uchawi, wapi na wapi? Kisha utasikia mtu anajiita Ngassa Drogba or somebody Balotelli, baada ya kujituma apate jina na yeye eti mtu anaona ujiko kujifananisha na fulani wakati hana hata kipaji cha kumfananisha na huyo mtu. So stupid.
 
haa haaa haa Katavi mi nakuambiaaga kila siku..haya sio mambo ya kuamua ...moyo ukipenda umependa hata kama ukijidai kujisahaulisha hutaweza
Kuanzia leo nimeacha kuishabikia hii taifa starz hadi hapo baadae watakapobadilika.
 
Last edited by a moderator:
Pamoja na mapungufu TFF ila swala la kiufundi ni la kocha ndio maana tumeona world cup timu ikifanya vibaya kocha anawajibika...Kocha unawezaje kumpanga Erasto Nyoni kwenye kiungo akaonekana anastruggle sana?Ukawaacha watu kama sure boy,chuji,dilunga,boban,kiemba na mafundi wengine.Nafananisha na brazil walivyowaacha watu kama kaka na ronadinho.Watu Kama hawa wanatakiwa kuwepo kwenye timu maana wanakuwa na kitu cha ziada.Tusikate tamaa huu ni Mpira lolote linaweza kutokea Msumbiji.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom