Tanzania, Picha za Mgomo wa Waalimu

KILA MADAI YA WAFANYAKAZI SERIKALI INASEMA HAINA UWEZO! SASA SERIKALI YA MH. JK INAWEZA NN?
Chagua jibu sahihi;
a) Safari za nje kila kukicha
b) Kuficha mabilioni Uswisi
c) Ufisadi,kama EPA
d) Kuuza twiga nje ya nchi

e) a, b, c na d yote ni sawa.
 
kimsingi serikali imeprove failure naomba serikali iliyoko madarakani,, ikae pembeni na wengine wajaribu,!!

attachment.php
 

Attachments

  • japhee.jpg
    japhee.jpg
    60.2 KB · Views: 366
mkuu wa mkoa mpumbavu sijawahi ona
meneno yke hovyo sana, hasa wakati wa kuzuia kitu chochot kile
style zake hovyo
 
Taifa la kesho litakua ni taifa lililo amka na hawata kubali kupelekwa pelekwa hovyo wa watakua wakizijua na kuzidai haki zao
 
Wako kama wanasherehekea kumaliza shule hivi...:baby:
Pyeeee....si tulisema wasichapwe viboko sio!??
 
Watoto hawa wanaanza mapema yote hii kuichukia serikai yao, wakiwa vyiuni hawa lazima watakuwa wanaharakati.
 
Hivi kwa hali hii tunandaa taifa gani huko mbele? Sipati picha!
 

Nimeipenda jezi ya huyo mtoto. Upande wa kulia wa picha. Laiti angeelezwa katika umri huu, kuwa adha anayoipata inatokana na genge la watu ambao wapo ndani ya jezi aliyoivaaa.............. Sijui fikra zake zingepata mtazamo gani kuanzia sasa.
 
Back
Top Bottom