Tanzania ni ya 3 kwa stress duniani

Hahahaah
IMG-20190426-WA0042.jpeg
 
Kama kuna kaukweli furani hivi maana

VISIMBUSI viliwatia watu mfadhaiko

MAFAO YA WASTAFU watu walipata mfadhaiko

KOROSHO watu walipata mfadhaiko

USAJILI MPYA WA LAINI huu sasa ndio mfadhaiko unaoendelea na inaonekana utakaa mda mrefu
Mkuu umeshawahi kuhojiwa na hawa watu? Au kuna yoyote humu JF Alishawahi kuhojiwa?
 
Mbona sisi tupo huku kijijini na tunafuraha tuu, maghala yanachakula mpaka vinaharibika, ngo'mbe wanatoa maziwa mpaka yanakosa mnywaji, matunda yamejaa mtini mpaka yanaoza,, daah tutake nini tena jamani,
Kijiji gani nasi tukuye, maana huku town tulipo biashara zimebuma.
 
Back
Top Bottom