Tanzania ndio nchi ya timu mbili hatua ya robo fainali 2023/2024

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
9,529
14,425
IMG-20240303-WA0005.jpg
Tanzania ndio nchi pekee Afrika iliyofanikiwa kuingiza timu mbili (Simba na Yanga) hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa 2023/24.
 
Back
Top Bottom