Tanzania National Identities

Mpango wa kuwa na vitambulisho vya kitaifa:

  • Ni Nzuri

    Votes: 205 58.4%
  • Ni Mbaya

    Votes: 147 41.9%

  • Total voters
    351
tanzania sasa tunategemea 34% ya budget yetu kutoka kwa wafadhili.

Serikali kwa mwaka huu kwa mara ya kwanza inajitegemea kwa matumizi ya kawaida na fedha zitabaki na kwenda kwenye budget ya maendeleo. (this is good news)

sasa anazungumzia nithamu ya matumizi ya fedha za serikali.
 
kwaherini anapoteza mda wangu,kukiwa na jipya nambieni

Mzee unadharau raisi wako? Kumbuka huyu ni changuo la Mungu.

Tanzania raisi wetu and potray jinsi ambavyo tulivyo tuliomuweka madarakani huyu Jim Karey (JK)
 
Wana JF naombeni namba ya simu ya mkononi ya the National Comedian (J. M. Kikwete). Ningepeta kumfahamisha maoni yangu baada ya hotuba yake hii ya leo.
 
Wana JF naombeni namba ya simu ya mkononi ya the National Comedian (J. M. Kikwete). Ningepeta kumfahamisha maoni yangu baada ya hotuba yake hii ya leo.

Hahahahhaha mzee nimechaka sana hapa uhuuuuuuuuuuwi....
 
Kuliko kusikiliza hiyo hotuba, bora nisikilize zilipendwa hapa JF. namshukuru aliyeka hiyo music alijua ipo siku tutaboreka na hotuba ya JK then tushindwe pakwenda
 
sasa anasema hatua zilizochukuliwa kwa wale waliotumia vibaya fedha za serikali. Wakurugenzi 27 wamefukuzwa kazi na wafanyakazi wengine 795 katika idara za fedha wameshughulikiwa....

ohh nooo connection imekata ghafla kimya.
 
subilini atakapo rejea Dar watakavyo andaa mapokezi ya nguvu akina Kandoro....sijui kwa kazi ipi??
 
Itz time to mute the sound,cause its more interesting to watch him than listening to him.Otherwise,its to conserve the LUKU staff by switching em off!
 
mimi naona bora niende nikapate lunch tu ugali matembele hapo hakuna kitu anayarudia ya mawaziri wake wanayo tudanganya kila siku bungeni.

Waungwana najibrekisha kidogo mimi nilisha kata tamaa hata kabla hajaanza kuhutubia.
 
kikwete is using the sacred art of oratism,to sweep ordinary tanzanians off thier feet.so far nothing new.hizi statistics anazotoa,do these really have any meaning to the man in the streets?
 
sasa anasema hatua zilizochukuliwa kwa wale waliotumia vibaya fedha za serikali. Wakurugenzi 27 wamefukuzwa kazi na wafanyakazi wengine 795 katika idara za fedha wameshughulikiwa....

ohh nooo connection imekata ghafla kimya.

Vidagaa YES YES wamefukuzwa kazi.

Je Mizizi ya Rushwa je?
 
Back
Top Bottom