Tanzania kuna ubaguzi wa rangi?

Hofstede

JF-Expert Member
Jul 15, 2007
3,577
1,107
Katika pitapita nimekutana na maoni baada ya Ushindi wa Miss Tanzania Richa Adhia kuzua kizaazaa. Kilicho vuta interest yangu si kipindi kilichorushwa na Jim Clancy wa CNN katika Inside Africa.




Maswali niliyojiuliza ni

1. Je, watanzania weusi ni wabaguzi au watanzania wenye asili ya asia ni wabaguzi

2. Watanzania weusi wanajitenga au watanzania wenye asili ya kiasia wanajitenga?

3. Watanzania weusi wanatengwa na wenye asili ya kiasia au kinyume chake?

Baadhi ya maoni yaliyokuwa yameandamana na video. Ni malumbani yanayoonesha katika mwenye asili ya kiasia na mmatumbi

Mchangiaji 1
Lets agree on one thing, discrimination is a natural phenomenon. Everyone does this in one way or another. It happens when you pay more attention on your differences than your similarities. I strongly believe that if black race was more powerful, it would have descriminated the white same ways.
However, as time goes by, we are becoming more civilized, and we tend to invite our commonalities. It is going to take more time to get to a zero gap, but we are heading that direction.

Mchangiaji 2
Anyway,how an asian can  fee superior to anyone?To be asian is to be less than human.It is a genetic fact!Only two races matter in the world:BLACK and WHITE!

Mchangiaji 3
The reason why asians are not liked in tz is because they are racist to blacks, have you ever dated an indian girl? they are corrupt, they only want to cooperate among each other and they feel as if they are superior..wamejaa kariakoo,wamechukua wahindi wahamiaji haram mchana kutwa wanakaa ndani,usiku ndo wanatoka kuona mji,they still practice slavery to their fellow indians wanaowachukua india kwa kazi za ndani..msipojirekebisha,mabaya yako juu yenu

Mchangiaji 4
You tell me how many africans live in india or pakistan?Did africans brought asians in africa?You tell me how african descendants are treated in india?Your white masters took you to africa to act as their watchmen.You did a good job for them as usual.But you dont belong to africa.India is booming right now!Why cant you just https://jamii.app/JFUserGuide up and go back to india to live among ;your own people?Asians are very cheeky people!They talk about diversity because they are in africa!Africans is for africans!
 
Last edited by a moderator:
Yah riport ya CNN wachangiaji wameonyesha kwa kiasi kikubwa wa bongo si wabaguzi kivile na wahindi wamonyesha wanapenda kuishi bongo,ila baadhi ya wahindi ndio hawapendi kuchangamana so wao ndio wana chochea gap la kibaguzi.
 
Ubaguzi wa rangi upo Tanzania ...... Watanzania wenye asili ya Asia wanadharau weusi na Weusi wanadharau hao 'weupe'

ubaguzi upo Tanzania japo kuwa labda tunaweza kuuita upendeleo
 
Inakuwaje waafrika wote wanashabikia timu ya waafrika wenzao GHANA katika world cup, au inakuwaje waafrika wanashabikia starring mwenye asli ya afrika katika filamu.
Sijui ni ubagizi au ni ushabiki tu?
 
Ubaguzi wa rangi upo Tanzania ...... Watanzania wenye asili ya Asia wanadharau weusi na Weusi wanadharau hao 'weupe'

ubaguzi upo Tanzania japo kuwa labda tunaweza kuuita upendeleo

Hapa nakubaliana na wewe, mfano mzuri ni wamatumbi wenzetu wanaofanya kazi katika sehemu mbalimbali, wanaonesha upendeleo wa dhahir kwa watu wasiofanana nao, sasa huu sijui tuutije?, maana mbaguzi hupendelea anayefanana naye.

Kuna siku nilitua na KLM pale DIA ndege ilikuwa imejaa watasha, wakati wa kutoka wao wakawa wanapita kama wananawa vile, mimi nikafuatwa na mama mmoja akihoji nimebeba nini kwenye bag langu kwa kweli sikuweza kumuelewa kabisa lakini hii ndiyo hali halisi.

Upande wa watanzania wenye asili ya asia wao ni kama wanajitenga sana, leo hii mmbantu ukiona binti wa kihindi basi wanamtenga kabisa ila wao wanaoa tu dada zetu nobody cares
 
Hakuna ubaguzi Tanzania, kuna upendeleo na kunyanyasana kati ya wenye nacho na wasiokua nacho... Fitna na chuku zisizo na msingi..
 
Ubaguzi karibu upo kila mahali, na mara nyingi ni ubaguzi wa matabaka ya kiuchumi. Watu wa tabaka moja huwa na common denominator ya kuwatofautisha na tabaka jengine, sometimes wanapoonesha sana 'mshikamano' ndio huleta mwangwi mkubwa zaidi tunaoutafsiri kama 'ubaguzi'.
 
Jaji Mkuu wa Miss Tanzania ni banyani (Mhindi koko) sasa mhindi koko akishiriki kwenye hayo mashindano unategemea nini? Kwanza kama ni watanzania wapewe viwanja huko Boko, Kigamboni wajenge, kwa nini wako kwenye hayo maghorofa tu mjini? Pia pesa zao nyingi hupeleka Canada au UK? Na baadaye watoto wao kuenda kuishi huko?

Wakoloni wa kizungu ndio walioleta tofauti hii na wahindi kuipokea mpaka leo - kulikuwa na shule za wazungu, za wahindi na waafrika/ watanzania - mpaka leo majengo ya shule za wahindi bado zipo. Mfano wa shule zilizokuwa za wahindi na mpaka leo watoto wa wahindi wanasoma huko ni Shaban Robert (DSM), Uyui (TBR), Lake (MZA).

Ukitaka kujua wahindi ni wa ovyo wewe fanya kazi kwenye shirika ambalo ni la wazungu, mfano ubalozi wa Uingereza, utaona haya madaraja, pia ni wanafiki kupindukia!!! Wala sitaki kuwasikia na kuendelea kuwaongelea :A S angry:
 
Mhindi anajifiri superior kuliko Mwafrika.Tukumbuke Wahindi wamepandikizwa ubaguzi na Mzungu Mwingereza ambaye aliwatawala karibu ya miaka 100!Ndio maana mpaka leo kwao kama una dark skin hata kama ni MHiNDI ni tabu kubwa(DALIT people)

India vilevile wanajichubua wawe weupe zaidi kama Wazungu.Ndio maana Mhindi yuko tayari kuolewa/kuoa na Mzungu,lakini Mwafrika kamwe.
Mwingereza ndio aliwaleta Wahindi East Africa na South ,na kuwapeleka wengine Caribean islands kama Fiji,Jamaica,Trinad&Tobago,Guyana etc ndio maana hata huko bado kuna struggle ya hawa Wahindi na Weusi.

Tanzania tangu Nyerere,tumewaachia Wahindi ndio maana sasa tunawalamba ******.
Wakati wa Uhuru ,walikuwa decent Wahindi akina Ali Noor Kassum,Amir Jamal etc .Kuanzia Mwinyi wamekufuru sasa.
Wahindi ni corrupt in nature.Nchini UK ,wamejaa sana,hata Wazungu wamewashtukia.Ila at least UK kuna rule of law.,ndio maana hautakuta
design ya akina Rostam Aziz au yule Mhindi aliyetender Radar na vifaa JWTZ.

Lakini Mhindi wa Tz tumemweka first class,na kumfanya ni bora zaidi kuliko mtu mwingine.
 
Wahindi hawakujifunza ubaguzi kutoka kwa Mwingereza. Ubaguzi kwao (hata kati yao) ni sehemu ya mila, desturi na hata imani ya dini. Cast system ina mizizi mirefu sana kwa wahindi kiasi kwamba hata majina yao yanawatambulisha kama yeye ni wa high class au low class. Na hata kati yao - kwa imani ya dini na mila - mhindi wa daraja la chini ni mwiko kuoana na mhindi wa daraja la juu.

Wahindi, wakiwa na imani hiyo tangu utotoni, wanawaona watu weusi kuwa ni daraja la chini. Kumbe wanawabagua popote walipo: iwe ni India au hapa TZ. Ndo mana unakuta wahindi wana shule zao, nk. Hawawezi hata siku moja kuchanganyikana na weusi kwani mila zao na imani yao ya kihindu inatawadai waishi kwa madaraja. Kwa kifupi wahindi ndiyo wabaguzi!! Watanzania /weusi - kwa ujumla - si wabaguzi ila wanapoona wanabaguliwa nao wanakubali kukaa kando, wanaachana nao.
 
Tatizo kama nilivyosema ni kwamba kuna madaraja ya kiuchumi ktk jamii, if more wananchi huko ground zero wakiwa empowered economically, hizi kelele za ubaguzi sijui nini zitakuwa historia, walau kwa huku Tz.
 
Back
Top Bottom