Mzanaki
Member
- Feb 25, 2011
- 20
- 11
Ni jambo la kawaida kwa mgonjwa wa akili kukataa kata kata kuwa yu mgonjwa na badala yake huwaona wanaomsaidia kuwa ndiyo vichaa.Tanzania ya leo haina tofauti na kichaa huyu na inapaswa kupatiwa dawa la sivyo itaishia pabaya.Tanzania ya leo Kila waziri ana serikali yake mwenyewe,waziri mkuu serikali yake, rais serikali yake kule ikulu, CCM serikali yake inayoongozwa na Sophia Simba, bunge nalo linashikilia serikali yake inayoongozwa na Mrema, Jeshi nalo......huu ni wendawazimuuuuu!.Tanzania ipelekwe Mirembe kwa nguvu!.