DOKEZO Tanzania Institute Of Education (TIE) does the textbooks business in a "cocaine style". Is that the core job of the institute?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Midas Touch

Senior Member
Jan 23, 2008
178
182
Here you get Kiswahili version to start with followed by English version

KISWAHILI VERSION
TAASISI YA ELIMU TANZANIA (TET) INAFANYA BIASHARA YA ELIMU NA VITABU KWA MTINDO WA DAWA YA KULEVYA. BIASHARA YA VITABU (TEXTBOOKS) NDIYO KAZI YAO KWA KISHERIA YA TAASISI HII?

Kwanza kabisa TET imechanganyikiwa na kuvurugikiwa kimajukumu kiasi kwamba hakuna hata viongozi wanaotambulika kwa sheria ya bunge, hakuna kipaumbele, mwelekeo wa shighuli na hata tija. Matokeo yake ni kuwa kuna mitaala mibovu inayobadilika kila mara mheshimiwa mpya anapochukua madaraka. Mbaya zaidi, Taasisi hii HAIKO KISHERIA na inaendeshwa kama vile Behewa la Garimoshi kuvutwa na MBUZI. Hali hii inachochewa sana na kiasi kikubwa cha fedha za walipa kodi zinazomwangwa hapa na kutumika kifisadi kwa ushirika na viongozi wakubwa katika wizara ya elimu. Hali hii haina tofauti kubwa na uchakataji wa madawa ya kulevya kule Mexico wakati wa Pablo Escobar kwani sheria na maadili havihusiki ila pesa mbele.

Kwa mara ya mwisho Sheria ya Bunge namba 5 ya mwaka 1993 (TIE Act 1993) iliibadilisha taasisi hii kutoka Taasisi ya Ukuzaji Mitaala (Tanzania Institute of Curriculum Development) kuwa Taasisi ya Elimu Tanzania (Tanzania Institute of Education-TIE). Muundo wa kiutawala ulikuwa kwamba kuna Mkurugenzi na Naibu Mkurugenzi na waliofuata walikuwa ni wakuu wa idara 4. Bila sheria yoyote ya Bunge, Sasa kuna Mkurugenzi mkuu (Director General) mwenye madaraka makubwa hata akitaka kuiuza TIE kwa bei ya mchicha anaweza kufanya hivyo.

Kwa madaraka makubwa katika elimu ya watoto wa Tanzania iliyonayo TIE kwa sasa mambo mengi yameibuka na kundelea kufanyika kana kwamba Watanzania hatuoni na hata tukipewa mwanga wa koroboi tutembee nao mchana:

Kwa kutumia kawaraka ka elimu na. 14 ka mwaka 2014 ambao hakatokani na sheria ya bunge ila ni maamuzi tu ya waziri kwa maslahi yake (decision of administrative authority that not government policy that is supported by Act of Parliament), kazi zote za uandaaji, uandishi, Uhakiki, uchapishaji, uchapaji, uuzaji na usambazaji wa vitabu katika shule zote za Msingi, Sekondary na Vyuo vya ualimu TIE ikajijbebesha kama vile MBUZI Kuvuta behewa la gari moshi..!

Mwaka 2017 bila umakini wowote bali kupiga pesa, TIE walichapisha vitabu kwa shule zote na vyuo vya ualimu nchini kwa kiasi cha kama Tsh 15 bilioni. James Mbatia wakati huo akiwa Mbunge wa Vunjo akawasha moto Bungeni kuhusu ubovu wa vitabu vile. Baada ya malumbano makali bungeni vitabu vile vikakusanywa na kurudishwa TIE kimya kimya na hata sasa hatujui vilitupwa wapi ila najua karatasi hazitupwa bali hubadilishwa matumizi tu baada ya kuuzwa, na kazi ikaendelea kana kwamba hakuna kilichotokea.

Kutokana na mapesa yanayomwangwa TIE, biashara ya vitabu imekuwa in pango la walaji wenye meno mchongoko. Katika hali isiyo ya kawaida, utayarishaji mwa mswada wa kitabu tarajiwa (manuscript) kabla ya kupelekwa kwa Printer nje ya nchi kwa mtindo wa TIE gharama hufikia hadi Tsh milioni 40 wakati kwa publisher wa kawaida ni chini ya Tsh milioni 4. Kwa hali hiyo uzalishaji, usambazaji na uuzaji wa vitabu vya TIE hauna tofauti kubwa na ile biashara ya cocaine kule Mxico wakati wa Pablo Escobar kwani hata bei ya kitabu haijulikani kwa inapangwaje (cover price determination). Twende kwa hisabati rahisi, katika catalogi ya bei ya vitabu vya TIE kwa msimu huu ambayo wala haiko wazi na haijulikani pa kuipata kuna vitabu 61 viko sokoni ambapo kama vilitayarishwa kwa mitindo pekee wa TIE ina maana Tsh 40 milioni zilitumika zidisha kwa 61 unapata kiasi cha Tsh 2,440,000,000/- zilitumika kabla ya kwenda kuchapisha nje ya nchi kwa pesa nyingine nyingi. Hapa ndipo palipo na utamu wa biashara ya vitabu kwa TIE. Wanang’ang’ania kwa mbinde na kusahau majukumu yao ya ukuzji wa mitaala na elimu bora kama jukumu lao kwa mujibu wa sheria.

Katika hali ya kushangaza, TIE wamejivika kazi ya kuidhinisha vitabu vya wachapishaji binafsi ambao watashindana na bidhaa za TIE sokoni! Kwanza TIE hakuna wataalamu huru wakufanya kazi ya kuidhinisha vitabu na kutoa idhibati (approval) na pia ni kinyume na haki ya asili (Natural Justice). Huwezi kuwa mwamuzi katika jambo linalokuhusu (You cannot be a Judge in your own cause). Yaani wazalishaji 2 wako sokoni na bidhaa shindani kwa wateja wale wale lakini huyu mmoja ni mkaguzi/muidhinishaji wa bidhaa za mshindani wake, maajabu haya siyo mpaka Prof. Shivji aseme!

Kwa hivyo basi, sekata ya elimu na vitabu kwa ujumla imepoteza dira na mwelekeo. Elimu, mitaala, vitabu na Dira ya Elimu havina mahusiano mema kwa faida ya elimu ya Watanzania kwa sasa na hata kesho yake haijulikani.

Textbooks publishing in Tanzania have gone hullaballoo since times before...

ENLISH VERSION
First and foremost, Tanzania Institute of Education (TIE) is totally frustrated hence, hectic and inefficient in all that it does according to the law of its establishment.

For sometimes, TIE has gone astray (away from the correct path or direction) to the extent that ONLY MONEY matters to the big potatoes of the institution and the corrupt watchdogs in the Ministry of Education.
TIE is sailing away from the law of its establishment.

The TIE Act 1993 established TIE as its core functions as Curricula Development headed by the TIE Director and a Deputy Director (Mkurugenzi na Naibu Mkurugenzi) with four departments with their heads. But now without any Law of the Parliament TIE has elevated itself to:

Having the Director General (DG) who is the Supreme Leader who has absolute powers and the Curriculum Developers are terribly timid;

Having four Directorates instead of departments with their heads.

Monopolize the erratic publishing of textbooks in Tanzania with just a “Waraka wa Elimu no. 14 wa 2014” that lacks legal base. This business is corruptly funded by government funds and donors best known to TIE that constitutes billions of money annually.

In 2018 textbooks worth Tsh. 15 billion were erratically published by TIE but removed from schools following aggressive work of James Mbatia (MP) arguments in the Parliament. This is to say that, TIE does all works.

Having Corrupt and clandestine publishing budgets that are contrary to the textbooks publishing manners. In standard publishing budgets calculations in the first printout of a textbook net profit should be 25% of the cover price (price to sell the textbook in question).

But at TIE things are pretty different, the preparations of the manuscript before it is submitted to the printer it costs up to 40+ million while in the normal private publishers it is hardly 3 million.

This taxpayers money is corruptly lost in the meetings sitting allowances (posho za vikao kuhusu kitabu Fulani). This is the total loss business to the government while the government should never do business anyway.

Become the certifier to the publications from private publishers (kutoa ithibati). There is no any Act of Parliament that has been passed for that mandate to TIE. This is contrary to the Natural Justice. Consider two institutions are competing in the market for the close substitute items but one is the judge to the products of the other..!

Hence the government is urged to review the works of TIE and whether textbooks production should be monopolized by TIE. And whether publishing budgets of TIE publications are viable in line with the taxpayers’ money. Does the monopolistic sales and distribution of textbooks viable...!
 
Attachments

  • Utangulizi.jpg
    Utangulizi.jpg
    471 KB · Views: 15
Asante Sana. Ikiwezekana tafsiri. Hiyo TIE ni hovyo Sana. Elimu imeshuka viwango watoto hawawezi hata kuandika Insha na imechangiwa na mambo mengi ikiwemo vitabu vya hovyo
 
Kwa..kweli...wachangiaji...wamekimbia...hivyo...basi....huu...uzi...utapata....tafsiri....ya...kiswahili...na...kurushwa....mapema...iwezekanavyo.
Umeona ee!...
Maana ulichokiandika kina tija sana kwa taifa hasa kwenye upande huo wa vitabu kuandaliwa na kuchapishwa na TIE.
Kuna changamoto nyingi sana. Na baadhi ya walimu wanatumia vivyo vitabu basi tu kwa kuwa hawana mbadala; kwasababu ndivyo vinavyoendana na mtaala mpya.

Ukweli ni kwamba viko 'very shallow' havikidhi kabisa kuwa vitabu vya kiada huenda vingekuwa vya ziada! Wakati mwingine unajiuliza kama vilifanyiwa uhakiki au walicopy na kupaste kutoka chanzo fulani?
 
First and foremost, Tanzania Institute of Education (TIE) is totally frustrated hence, hectic and inefficient in all that it does according to the law of its establishment.

For sometimes, TIE has gone astray (away from the correct path or direction) to the extent that ONLY MONEY matters to the big potatoes of the institution and the corrupt watchdogs in the Ministry of Education.
TIE is sailing away from the law of its establishment.

The TIE Act 1993 established TIE as its core functions as Curricula Development headed by the TIE Director and a Deputy Director (Mkurugenzi na Naibu Mkurugenzi) with four departments with their heads. But now without any Law of the Parliament TIE has elevated itself to:

Having the Director General (DG) who is the Supreme Leader who has absolute powers and the Curriculum Developers are terribly timid;

Having four Directorates instead of departments with their heads.

Monopolize the erratic publishing of textbooks in Tanzania with just a “Waraka wa Elimu no. 14 wa 2014” that lacks legal base. This business is corruptly funded by government funds and donors best known to TIE that constitutes billions of money annually.

In 2018 textbooks worth Tsh. 15 billion were erratically published by TIE but removed from schools following aggressive work of James Mbatia (MP) arguments in the Parliament. This is to say that, TIE does all works.

Having Corrupt and clandestine publishing budgets that are contrary to the textbooks publishing manners. In standard publishing budgets calculations in the first printout of a textbook net profit should be 25% of the cover price (price to sell the textbook in question).

But at TIE things are pretty different, the preparations of the manuscript before it is submitted to the printer it costs up to 40+ million while in the normal private publishers it is hardly 3 million.

This taxpayers money is corruptly lost in the meetings sitting allowances (posho za vikao kuhusu kitabu Fulani). This is the total loss business to the government while the government should never do business anyway.

Become the certifier to the publications from private publishers (kutoa ithibati). There is no any Act of Parliament that has been passed for that mandate to TIE. This is contrary to the Natural Justice. Consider two institutions are competing in the market for the close substitute items but one is the judge to the products of the other..!

Hence the government is urged to review the works of TIE and whether textbooks production should be monopolized by TIE. And whether publishing budgets of TIE publications are viable in line with the taxpayers’ money. Does the monopolistic sales and distribution of textbooks viable...!

View attachment 2464397

Would you please put it in kiswahili so as to capture a wide range of readers.--- English is a big problem to most of Tzns.
 
I'v..done..the...best...translation...and...will..be...uploaded...Monday...before...noon...Thanx...Makanze.
 
Kwanza kabisa TET imechanganyikiwa na kuvurugikiwa kimajukumu kiasi kwamba hakuna hata viongozi wanaotambulika kwa sheria ya bunge, hakuna kipaumbele, mwelekeo wa shighuli na hata tija. Matokeo yake ni kuwa kuna mitaala mibovu inayobadilika kila mara mheshimiwa mpya anapochukua madaraka. Mbaya zaidi, Taasisi hii HAIKO KISHERIA na inaendeshwa kama vile Behewa la Garimoshi kuvutwa na MBUZI. Hali hii inachochewa sana na kiasi kikubwa cha fedha za walipa kodi zinazomwangwa hapa na kutumika kifisadi kwa ushirika na viongozi wakubwa katika wizara ya elimu. Hali hii haina tofauti kubwa na uchakataji wa madawa ya kulevya kule Mexico wakati wa Pablo Escobar kwani sheria na maadili havihusiki ila pesa mbele.

Kwa mara ya mwisho Sheria ya Bunge namba 5 ya mwaka 1993 (TIE Act 1993) iliibadilisha taasisi hii kutoka Taasisi ya Ukuzaji Mitaala (Tanzania Institute of Curriculum Development) kuwa Taasisi ya Elimu Tanzania (Tanzania Institute of Education-TIE). Muundo wa kiutawala ulikuwa kwamba kuna Mkurugenzi na Naibu Mkurugenzi na waliofuata walikuwa ni wakuu wa idara 4. Bila sheria yoyote ya Bunge, Sasa kuna Mkurugenzi mkuu (Director General) mwenye madaraka makubwa hata akitaka kuiuza TIE kwa bei ya mchicha anaweza kufanya hivyo.

Kwa madaraka makubwa katika elimu ya watoto wa Tanzania iliyonayo TIE kwa sasa mambo mengi yameibuka na kundelea kufanyika kana kwamba Watanzania hatuoni na hata tukipewa mwanga wa koroboi tutembee nao mchana:

Kwa kutumia kawaraka ka elimu na. 14 ka mwaka 2014 ambao hakatokani na sheria ya bunge ila ni maamuzi tu ya waziri kwa maslahi yake (decision of administrative authority that is not government policy that is supported by Act of Parliament), kazi zote za uandaaji, uandishi, Uhakiki, uchapishaji, uchapaji, uuzaji na usambazaji wa vitabu katika shule zote za Msingi, Sekondary na Vyuo vya ualimu TIE ikajijbebesha kama vile MBUZI Kuvuta behewa la gari moshi..!

Mwaka 2017 bila umakini wowote bali kupiga pesa, TIE walichapisha vitabu kwa shule zote na vyuo vya ualimu nchini kwa kiasi cha kama Tsh 15 bilioni. James Mbatia wakati huo akiwa Mbunge wa Vunjo akawasha moto Bungeni kuhusu ubovu wa vitabu vile. Baada ya malumbano makali bungeni vitabu vile vikakusanywa na kurudishwa TIE kimya kimya na hata sasa hatujui vilitupwa wapi ila najua karatasi hazitupwi bali hubadilishwa matumizi tu baada ya kuuzwa, na kazi ikaendelea kana kwamba hakuna kilichotokea.

Kutokana na mapesa yanayomwangwa TIE, biashara ya vitabu imekuwa in pango la walaji wenye meno mchongoko. Katika hali isiyo ya kawaida, utayarishaji wa mswada wa kitabu tarajiwa (manuscript) kabla ya kupelekwa kwa Printer nje ya nchi kwa mtindo wa TIE gharama hufikia hadi Tsh milioni 40 wakati kwa publisher wa kawaida ni chini ya Tsh milioni 4. Kwa hali hiyo uzalishaji, usambazaji na uuzaji wa vitabu vya TIE hauna tofauti kubwa na ile biashara ya cocaine kule Mxico wakati wa Pablo Escobar kwani hata bei ya kitabu haijulikani kwa inapangwaje (cover price determination). Twende kwa hisabati rahisi, katika catalogi ya bei ya vitabu vya TIE kwa msimu huu ambayo wala haiko wazi na haijulikani pa kuipata kuna vitabu 61 viko sokoni ambapo kama vilitayarishwa kwa mitindo pekee wa TIE ina maana Tsh 40 milioni zilitumika zidisha kwa 61 unapata kiasi cha Tsh 2,440,000,000/- zilitumika kabla ya kwenda kuchapisha nje ya nchi kwa pesa nyingine nyingi. Hapa ndipo palipo na utamu wa biashara ya vitabu kwa TIE. Wanang’ang’ania kwa mbinde na kusahau majukumu yao ya ukuzji wa mitaala na elimu bora kama jukumu lao kwa mujibu wa sheria.

Katika hali ya kushangaza, TIE wamejivika kazi ya kuidhinisha vitabu vya wachapishaji binafsi ambao watashindana na bidhaa za TIE sokoni! Kwanza TIE hakuna wataalamu huru wakufanya kazi ya kuidhinisha vitabu na kutoa idhibati (approval) na pia ni kinyume na haki ya asili (Natural Justice). Huwezi kuwa mwamuzi katika jambo linalokuhusu (You cannot be a Judge in your own cause). Yaani wazalishaji 2 wako sokoni na bidhaa shindani kwa wateja wale wale lakini huyu mmoja ni mkaguzi/muidhinishaji wa bidhaa za mshindani wake, maajabu haya siyo mpaka Prof. Shivji aseme!

Kwa hivyo basi, sekata ya elimu na vitabu kwa ujumla imepoteza dira na mwelekeo. Elimu, mitaala, vitabu na Dira ya Elimu havina mahusiano mema kwa faida ya elimu ya Watanzania kwa sasa na hata kesho yake haijulikani.

Textbooks publishing in Tanzania have gone hullaballoo since times before...

Utangulizi.jpg
 
Umeona ee!...
Maana ulichokiandika kina tija sana kwa taifa hasa kwenye upande huo wa vitabu kuandaliwa na kuchapishwa na TIE.
Kuna changamoto nyingi sana. Na baadhi ya walimu wanatumia vivyo vitabu basi tu kwa kuwa hawana mbadala; kwasababu ndivyo vinavyoendana na mtaala mpya.

Ukweli ni kwamba viko 'very shallow' havikidhi kabisa kuwa vitabu vya kiada huenda vingekuwa vya ziada! Wakati mwingine unajiuliza kama vilifanyiwa uhakiki au walicopy na kupaste kutoka chanzo fulani?
Kiswahili Edition:
TAASISI YA ELIMU TANZANIA (TET) INAFANYA BIASHARA YA ELIMU NA VITABU KWA MTINDO WA DAWA YA KULEVYA. BIASHARA YA VITABU (TEXTBOOKS) NDIYO KAZI YAO KWA KISHERIA YA TAASISI HII?

Kwanza kabisa TET imechanganyikiwa na kuvurugikiwa kimajukumu kiasi kwamba hakuna hata viongozi wanaotambulika kwa sheria ya bunge, hakuna kipaumbele, mwelekeo wa shighuli na hata tija. Matokeo yake ni kuwa kuna mitaala mibovu inayobadilika kila mara mheshimiwa mpya anapochukua madaraka. Mbaya zaidi, Taasisi hii HAIKO KISHERIA na inaendeshwa kama vile Behewa la Garimoshi kuvutwa na MBUZI. Hali hii inachochewa sana na kiasi kikubwa cha fedha za walipa kodi zinazomwangwa hapa na kutumika kifisadi kwa ushirika na viongozi wakubwa katika wizara ya elimu. Hali hii haina tofauti kubwa na uchakataji wa madawa ya kulevya kule Mexico wakati wa Pablo Escobar kwani sheria na maadili havihusiki ila pesa mbele.

Kwa mara ya mwisho Sheria ya Bunge namba 5 ya mwaka 1993 (TIE Act 1993) iliibadilisha taasisi hii kutoka Taasisi ya Ukuzaji Mitaala (Tanzania Institute of Curriculum Development) kuwa Taasisi ya Elimu Tanzania (Tanzania Institute of Education-TIE). Muundo wa kiutawala ulikuwa kwamba kuna Mkurugenzi na Naibu Mkurugenzi na waliofuata walikuwa ni wakuu wa idara 4. Bila sheria yoyote ya Bunge, Sasa kuna Mkurugenzi mkuu (Director General) mwenye madaraka makubwa hata akitaka kuiuza TIE kwa bei ya mchicha anaweza kufanya hivyo.

Kwa madaraka makubwa katika elimu ya watoto wa Tanzania iliyonayo TIE kwa sasa mambo mengi yameibuka na kundelea kufanyika kana kwamba Watanzania hatuoni na hata tukipewa mwanga wa koroboi tutembee nao mchana:

Kwa kutumia kawaraka ka elimu na. 14 ka mwaka 2014 ambao hakatokani na sheria ya bunge ila ni maamuzi tu ya waziri kwa maslahi yake (decision of administrative authority that not government policy that is supported by Act of Parliament), kazi zote za uandaaji, uandishi, Uhakiki, uchapishaji, uchapaji, uuzaji na usambazaji wa vitabu katika shule zote za Msingi, Sekondary na Vyuo vya ualimu TIE ikajijbebesha kama vile MBUZI Kuvuta behewa la gari moshi..!

Mwaka 2017 bila umakini wowote bali kupiga pesa, TIE walichapisha vitabu kwa shule zote na vyuo vya ualimu nchini kwa kiasi cha kama Tsh 15 bilioni. James Mbatia wakati huo akiwa Mbunge wa Vunjo akawasha moto Bungeni kuhusu ubovu wa vitabu vile. Baada ya malumbano makali bungeni vitabu vile vikakusanywa na kurudishwa TIE kimya kimya na hata sasa hatujui vilitupwa wapi ila najua karatasi hazitupwa bali hubadilishwa matumizi tu baada ya kuuzwa, na kazi ikaendelea kana kwamba hakuna kilichotokea.

Kutokana na mapesa yanayomwangwa TIE, biashara ya vitabu imekuwa in pango la walaji wenye meno mchongoko. Katika hali isiyo ya kawaida, utayarishaji mwa mswada wa kitabu tarajiwa (manuscript) kabla ya kupelekwa kwa Printer nje ya nchi kwa mtindo wa TIE gharama hufikia hadi Tsh milioni 40 wakati kwa publisher wa kawaida ni chini ya Tsh milioni 4. Kwa hali hiyo uzalishaji, usambazaji na uuzaji wa vitabu vya TIE hauna tofauti kubwa na ile biashara ya cocaine kule Mxico wakati wa Pablo Escobar kwani hata bei ya kitabu haijulikani kwa inapangwaje (cover price determination). Twende kwa hisabati rahisi, katika catalogi ya bei ya vitabu vya TIE kwa msimu huu ambayo wala haiko wazi na haijulikani pa kuipata kuna vitabu 61 viko sokoni ambapo kama vilitayarishwa kwa mitindo pekee wa TIE ina maana Tsh 40 milioni zilitumika zidisha kwa 61 unapata kiasi cha Tsh 2,440,000,000/- zilitumika kabla ya kwenda kuchapisha nje ya nchi kwa pesa nyingine nyingi. Hapa ndipo palipo na utamu wa biashara ya vitabu kwa TIE. Wanang’ang’ania kwa mbinde na kusahau majukumu yao ya ukuzji wa mitaala na elimu bora kama jukumu lao kwa mujibu wa sheria.

Katika hali ya kushangaza, TIE wamejivika kazi ya kuidhinisha vitabu vya wachapishaji binafsi ambao watashindana na bidhaa za TIE sokoni! Kwanza TIE hakuna wataalamu huru wakufanya kazi ya kuidhinisha vitabu na kutoa idhibati (approval) na pia ni kinyume na haki ya asili (Natural Justice). Huwezi kuwa mwamuzi katika jambo linalokuhusu (You cannot be a Judge in your own cause). Yaani wazalishaji 2 wako sokoni na bidhaa shindani kwa wateja wale wale lakini huyu mmoja ni mkaguzi/muidhinishaji wa bidhaa za mshindani wake, maajabu haya siyo mpaka Prof. Shivji aseme!

Kwa hivyo basi, sekata ya elimu na vitabu kwa ujumla imepoteza dira na mwelekeo. Elimu, mitaala, vitabu na Dira ya Elimu havina mahusiano mema kwa faida ya elimu ya Watanzania kwa sasa na hata kesho yake haijulikani.

Textbooks publishing in Tanzania have gone hullaballoo since times before...
 
Would you please put it in kiswahili so as to capture a wide range of readers.--- English is a big problem to most of Tzns.
Kiwahili Comprehensive Edition:

Wacha waendelee kulamba asali
 
Na hayo ni matokeo ya kutokuwa na rule of law. Kama wangepeleka miswada Bungeni and well debated, hizo taasisi ni moja tu. Kiongozi anaibuka tu na kuamua na inakuwa hivyo.
Ndio hapo kama TEA ni mamlaka ya elimu kazi yake kutoa direction ya elimu na kusimamia elimu sasa TET ya Nini wakati tayali shule, vyuo vipo ambavyo vina simama kama tasisi zinazopromote elimu, maana kama kusimamia na kukuza mitaala hatuoni ni uhuni tu wapo pale kama genge la upigaji si kuboreshe elimu mfano ukiagalia vitabu vya kufundishia na kujifunzia wanavyotoa wanajua wenyewe wanaviandikia wapi
 
Yani sasa hivi ukitaka kufirisika unajiona fanya biashara ya vitabu vya shule tena hivi vya msingi na maandalio,shijara za walimu .
wanazingua kwa kweli utarundika yote kila siku wanabadilika .nasikia mwaka 2023 wanabadilisha watoto mwisho darasa la sita
 
Ndio hapo kama TEA ni mamlaka ya elimu kazi yake kutoa direction ya elimu na kusimamia elimu sasa TET ya Nini wakati tayali shule, vyuo vipo ambavyo vina simama kama tasisi zinazopromote elimu, maana kama kusimamia na kukuza mitaala hatuoni ni uhuni tu wapo pale kama genge la upigaji si kuboreshe elimu mfano ukiagalia vitabu vya kufundishia na kujifunzia wanavyotoa wanajua wenyewe wanaviandikia wapi
Wanasema at wanawatumai Profs kuandika vitabu hivyo kwa mtindo wa posho za vikao. Mswada mmoja kabla haujamwendea printer tayari milioni 40 zimetumika. It's a publishing practice of another planet. Lol...
 
Back
Top Bottom