Tanzania iliwahi kuwa nchi ya tatu kwa upelelezi duniani

Mnakaa kjadili idara znazoendeshwa kw siri wkt yakiyo wazi yanawasubiri, Na yamewashinda,? Yan barabara hazptik,zahanat hakna,wanafnz wana kaa chn af mnakaa kjadili usalama wa taifa Na wengne mnatoa hoja za vjiwe vya kahawa tyu...!!!!
 
Hii ya sisi kuwa wa tatu kwa upelelezi niliisikia.

Pia Nilisikia eti kuna mwaka fidel Castro alitua tanzania kwa ndege.

Akawauliza makomandoo wa tanzania mbele ya nyerere eti bastola yake iko wapi. Wamwonyeshe ameificha. Makomando wote wakachemka. Ila
Naskia kuna mbongo mmoja komando akagundua vifungo vya caatro ndio risasi zenyewe...

Basi castro akamuomba nyerere ampe yule komando. Ili apewe makomando zaidi ya 12 kutoka cuba, lakini Nyerere akakataa.

Story za zamani bhana. Ila zilikua tamu xana.


Na zile za Carlos the Jackal. Hawa watu walikua wanajadiliwa ka super human. Ile kimuvimuvi..



Na kile kitabu cha hadithi cha Joram Kiango.
Tutarudi na roho zetu.

Dah i can imagine.., old is Gold...
 
Mnakaa kjadili idara znazoendeshwa kw siri wkt yakiyo wazi yanawasubiri, Na yamewashinda,? Yan barabara hazptik,zahanat hakna,wanafnz wana kaa chn af mnakaa kjadili usalama wa taifa Na wengne mnatoa hoja za vjiwe vya kahawa tyu...!!!!
Yaliyowazi mpelekee mfalme ayatekeleze
 
Polisi siku hizi kaka wanachukuliwa hadi form 4 leaver 2 ht km ana div 4 pnts 32 anaenda depo unategemea nn?
Hivi kazi ya kushika binduk inatakiwa uwe. A phd?

Basi kama ni mim ningeamua polis jw na usalama wachukuliwe hata la saba kulingana na kitengo
Wasomi wawe wachache ili waongoze kundi la watu wengi

Ni kazi sana kuongoza wasomi utatoa amri wataanza kuhoji kwa kuljngana ma kiwango cha Elimu
 
Ndugu wana bodi,wakati nikiwa mdogo enzi za mwalimu kuliwahi kuwa na uvumi kuwa Tanzania ilikuwa na idara nzuri sana ya TISS hata ikawa nchi ya Tatu kwa upelelezi duniani.

Kwa upande mmoja naweza kuona ukweli wa hili nikijaribu kulinganisha TISS ya enzi za Nyerere na TISS ya ezi hizi,nakumbuka wapelelezi wa enzi hizo wengine waliweza hata kuwa kama vichaa kwa kuvaa nguo chafu ili waweze kukamilisha upelelezi na wakafanikiwa hata kuwakamata makaburu waliokuwa wanakuja nchini kutoka Afrika kusini kwa njia za pori,lakini siku hizi wasomali wanaingia nchini na kutoka wachache ndo kuwa wanakamatwa tena na polisi kwa kupewa taarifa na raia wema na sio TISS.

Naomba michango yenu wana bodi kuhusu jambo hili ukilinganisha na haya matukio yanayotokea kwa sasa.

Hao RAIA wema ushawah jua ni watu gani? Ok hao machiz u nadhan hawapo saiv? Fanya fyongo utajua
Pia zama zinabadilika hatiwez kuwa na idara ya style ya zama zile zile mbinu zile zile
Lazma kubadil kulingana na mazingira ya sasa na Changamoto zake

Bado naamin idara iko makin sana na ndo mana sisi tupo salama la sivyo ingekuwa kama Kongo
 
Sijaua mnapima kwa vigezo gani kujua ubora wa idara manake kwa siwez linganisha zama za. Jk nyerere na zama za jk kikwetr

Hiki ni kipindi ambapo uarifu jmekuwa wa kisasa na kuliko zaman na hata matumiz ya technology kwa sasa ni makubwa sana tty ofaut na zama. N
 
Enzi hizo mazuzu walikuwa wengi wengi,hiyo tv tu alikuwa na sheikh yahaya na Nyerere! halafu wakawa wanawatabiria wenzao mambo ya ulimwengu kumbe wao wameona kupitia CNN,BBC!midingi ya wakati eti mtu yuko chumbani na wife anaogopa kutaja jina la Rais kwa ubaya anahisi panya aliyepo darini ni shu shu shu aliye jigeuza panya !
Aiseeeeee..
 

Sasa hivi raia wa nje hapa Tanzania ni kwao kwa sababu hakuna ulinzi mfano ukienda Temeke Wasomali kibao wengi wao wanaingia kwa njia za panya, Buguruni Wasomali kibao nao ni hivyo hivyo. Ukipeleka taarifa polisi wao taarifa zao ni dili la pesa. Ndiyo maana nilimuuliza IGP hizo milioni 50 unazotaka kutoa kama zawadi kwa atakayetoa taarifa za uwepo wa magaidi itawezekana kweli???
Na ukitoa taarifa baada ya muda unauliwa
 
Mi naamini kama watu wa usalama wanatimizi majukumu yao kwa ufasaha hata mhalifu nae anakuwa na njia mbali mbali ktk kufanikisha dhamira yake kwa hiyo hata watu wa usalama huj na mbinu mbali mbali ktk kukabiliana na uharibifu.huwezi linganisha uharifu wa miaka ile na sasa ukasema utumie mbinu zile zile.nawapongeza sana usalama kwa kazi yai nzuri pia wananchi tuwe na ushirikuano na vyombo vya usalama kwa kutoa taarifa tunapoona kitu ambacho ni hatari.
 
Polisi siku hizi kaka wanachukuliwa hadi form 4 leaver 2 ht km ana div 4 pnts 32 anaenda depo unategemea nn?
Zamani walikuwa hawachukui IV, kama siku hizi wameacha kuchukua Standard 7 basi watakuwa wameendelea.
 
Back
Top Bottom