Highlander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 3,093
- 1,075
Uganda imezishinda Kenya na Tanzania kwenye Logistics Performance Index, huku Tanzania ikiponea chupuchupu
kulingana na Kenya. LPI ni kipimo cha kibiashara za kimataifa kuonesha urahisi wa kusafirisha mizigo kutoka pembe moja ya nchi hadi nyingine. Nchi ikipata tarikimu 1 inafanya vibaya, wakati ikipata tarakimu ya maksi 5 inafanya vizuri. Ni kipimo cha benki ya dunia. Uganda imepata maksi 2.82, Tanzania imepata 2.60, Kenya imepata 2.59, Rwanda imepata 2.04. Burundi sijaiona. Matokeo haya yanaweza kutafsiriwa kuwa Tanzania nimepunguza vikwazo kwa wasafirishaji wa bidhaa zinazoenda masafa marefu.
source, Benki ya Dunia hapa:
Logistics Performance Index