Tanzania hali si mbaya sana kwenye LPI Index

Highlander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
3,093
1,075
Uganda imezishinda Kenya na Tanzania kwenye Logistics Performance Index, huku Tanzania ikiponea chupuchupu
kulingana na Kenya. LPI ni kipimo cha kibiashara za kimataifa kuonesha urahisi wa kusafirisha mizigo kutoka pembe moja ya nchi hadi nyingine. Nchi ikipata tarikimu 1 inafanya vibaya, wakati ikipata tarakimu ya maksi 5 inafanya vizuri. Ni kipimo cha benki ya dunia. Uganda imepata maksi 2.82, Tanzania imepata 2.60, Kenya imepata 2.59, Rwanda imepata 2.04. Burundi sijaiona. Matokeo haya yanaweza kutafsiriwa kuwa Tanzania nimepunguza vikwazo kwa wasafirishaji wa bidhaa zinazoenda masafa marefu.

source, Benki ya Dunia hapa:
Logistics Performance Index
 
tafiti nyingine bwana! yaani hapo hawajagundua tu kuwa rushwa ndo imerahisisha kazi ya kusafirisha mizigo ktk nchi hii? nani asiyejua kuwa trafiki wetu ndo vinara wa kupokea rushwa kutoka kwa madereva? sometimes kumbe rushwa inasaidia kupunguza urasimu!
 
that is a possibility myhem: kwamba rushwa imeboresha index. ironical, tho, isn't it?
ingawa pia panaweza kuwa pametokea maboresho fulani.
 
Back
Top Bottom