Tanzania haimthamini mwalimu.

Man selected

New Member
Nov 19, 2011
3
0
Inasikitisha sana.
Uwalimu sasa si kazi mzuri kutokana na jinsi serikali yetu ilivyo wapuuzia.
Kwamacho yangu nimemshuhudia mwalimu wangu wa primary amekuwa ombaomba yeye na watoto wake.
Tena nimwalimu ambaye ameshafundisha shule nyingi Dar na pwani.
Sijaua ni matokeo baada yakustaf au ninini.
Hakupaswa kuishi maisha yashida hatakama amestaff.
Mawazi na Wabunge wanahudumiwa vizuri wanawasahau watu waliowafungua akili kufika hapo walipo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom