Tanzania eti hakuna ajira!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Kama Tanzania hakuna ajira kwa nini wazungu wanakimbilia kuja Tanzania?kufanya kazi??wageni wote,mtaa wakongo vibanda vya maji,kandambili,yeboyebo ni wachina!!msururu mwanzo wamtaa hadi mwisho!Jamani jamii ya wasomi rudini nchini tung'oe mfumo mbovu uliopo Tanzania itajengwa na watanzania wenyewe!Wahindi,wachina,makaburu wanachuma nakutubakizia umasikini!!CCM imeshindwa kubadili mfumo wanchi tangu mabadliko ya globalization.
 
Back
Top Bottom