Tanzania Election 2010 Results as per NEC

yaani wameanza kwa kuzunguka katika majimbo ambayo wanaona kuna ushawishi mkubwa wa CCM & CUF ili ionekane CHADEMA haipo. Najua wanafikiria ni jinsi gani watatangaza matokeo ya DAR,Mbeya,MARA,MWAZA KIGOMA ARUSHA KILIMANJARO ambako kunawapigakura wengi
 
Duh, hapa ndo ninapowachoka watanzania. Hata Longido wamemnyima kura Slaa? Kuna wakati mwingine unaweza ukaona ni bora watanzania waendelee kuteseka tu, maana inaonekana bado kabisa hawajitambui na wala hawaoni kama CCM inawaumiza.
 
pressure inapanda inashuka.........................humu wachakachuaji wamekuwa wengi ss zikiletwa data za ukweli ndio hivyo tena kelele zinaanza...........mie simsikilzi mtu yeyote kwa sababu hii jf leo moja tu imeshuka hadhi,,,maana imekuwa kama tupo bar kila mmoja anakuj na stori yake.
 
Wanatuzunga tuuuuuu Mbona Arusha, Mbeya,Iringa Songea Mjini,Ubungo,Kawe NK...... Kimya Tume Haipo huko
 
Longido --- Mziray - 157, Kikwete - 17066, Slaa - 2702, Lipumba - 114, Kirungwe - 10, TLP - 4, UPDP - 7 haribika 344

Chilonwa - APPT - 319, CCM - 19780, Chadema- 2439, CUF - 179, NSSR - 25, TLP - 18, UPDP - 18

Mpanda Vijijini - APPT - 128, CCM- 7817, Chadema - 3669, CUF - 378, NSSR - 26, TLP - 17, UPDP - 13

Siha - APPT 241, CCM - 15570, Chadema - 7226, CUF - 83, NSSR - 18, TLP - 11, UPDP - 14

Kwa matokeo hayo JK amezidi kuendelea kupeta..ila badoooooo....huku ni kule kule tunakosema tulijua itakua hivyo...

kilimajoy bana ... sio mbaya ukisema tu kuwa unafurahia kinachoendelea. Acha kupretend mkuu
 
Longido --- Mziray - 157, Kikwete - 17066, Slaa - 2702, Lipumba - 114, Kirungwe - 10, TLP - 4, UPDP - 7 haribika 344

Chilonwa - APPT - 319, CCM - 19780, Chadema- 2439, CUF - 179, NSSR - 25, TLP - 18, UPDP - 18

Mpanda Vijijini - APPT - 128, CCM- 7817, Chadema - 3669, CUF - 378, NSSR - 26, TLP - 17, UPDP - 13

Siha - APPT 241, CCM - 15570, Chadema - 7226, CUF - 83, NSSR - 18, TLP - 11, UPDP - 14

Kwa matokeo hayo JK amezidi kuendelea kupeta..ila badoooooo....huku ni kule kule tunakosema tulijua itakua hivyo...
heko JK ila uwe makini usifanye ujinga wakipindi kilichopita
NAONA ILE YA WASIMAMIZI WANAKUANGUSHA IMEKUOKOA SAANA, TULICHOFANYA NIKUKUPUNGUZIA WASIMAMIZI WABOVU!
 
Longido --- Mziray - 157, Kikwete - 17066, Slaa - 2702, Lipumba - 114, Kirungwe - 10, TLP - 4, UPDP - 7 haribika 344

Chilonwa - APPT - 319, CCM - 19780, Chadema- 2439, CUF - 179, NSSR - 25, TLP - 18, UPDP - 18

Mpanda Vijijini - APPT - 128, CCM- 7817, Chadema - 3669, CUF - 378, NSSR - 26, TLP - 17, UPDP - 13

Siha - APPT 241, CCM - 15570, Chadema - 7226, CUF - 83, NSSR - 18, TLP - 11, UPDP - 14

Kwa matokeo hayo JK amezidi kuendelea kupeta..ila badoooooo....huku ni kule kule tunakosema tulijua itakua hivyo...

Thanks Mkuu, ila nashangaa mbona yale wanayoshinda wapinzani kama tanga lindi, mbeya, mwanza arusha nk matokeo yanakua magumu kutoka??
 
Dr. Slaa will never will never fall......!!!the truth remains,MY PRESIDENT IS DR. SLAA........He is a Tanzanian hero of all times...he will remain like that.....!!!
 
nec wachakachuaji,jf wachakachuaj,ccm wachakachuaji,tbc wachakachuaji,................................mie naonabongo nzima ni wachakachuaji tu basi.
 
Sio mbaya ila tu ajiandae maana ana shughuli pevu mbele, bunge la mwaka huu hakuna cha CCM kufanya maamuzi jinsi wanavyotaka
 
Back
Top Bottom