Tanzania Daima walikuwa sahihi: Ni Upepo Umepita!

ooh...oooh!!
Kweli mkuu.
Mazoea hujenga tabia.
Na viongozi wanalijua.
Upepo umepita huoo...
Nadhani sasa wanachekelea
Wanaangalia namna ya kuadhibu wabunge "viherehere"
 
Mdharau mwiba, mguu huota tende...atleast bado nakumbuka misemo ya miaka yangu ya utoto
 
Mdharau mwiba, mguu huota tende...atleast bado nakumbuka misemo ya miaka yangu ya utoto

...mkuu hapa twaota tende sie sie. Wao wanafahamu maisha baada ya hapa angalau. Vipi kuhusu sisi, wana na wana wa wana wetu.
 
Hizo slogan ndo zinazotumaliza na kuondoa umoja katika yeti, bikini tutaungana kupinga mambo Haya? Viongozi wanapojaribu kututetea na sisi raia tujitokeze tuwaubge mkono, otherwise ccm kupitia ikuky wataendelea kutuntonya, kutukandamiza na kutuharibia nchi yetu
 
That's kweli kikwete keshatusoma watanzania na ameshajua kuwa sisi ni warahisi wakusahau mambo na kuona kawaida na ndio maana alisema ni upepo wa kisiasa na utapita tu. Mimi naona 2015 tukichukuwa nchi tuwashtaki mafsadi wote hata kama halitakuwepo katika katiba maana wanaweza wasilipitishe ili kujiwekea kinga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom