Tanzania civil aviation authority imesajiliwa na nacte?

alindae

Member
Jun 25, 2012
8
0
naombeni mnisaidie nataka kujiunga na chuo hicho kozi ya flight operating officer je chuo kimesajiliwa na kama bado ni chuo gani kingine kinatoa kozi kama hiyo Tanzania
 
naombeni mnisaidie nataka kujiunga na chuo hicho kozi ya flight operating officer je chuo kimesajiliwa na kama bado ni chuo gani kingine kinatoa kozi kama hiyo Tanzania

kimesajiliwa na NACTE, na kinatambuliwa na International Civil Aviation Organisation (ICAO) kwa maelezo zaidi nenda www.catc.ac.tz
 
Back
Top Bottom