Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,062
- 10,354
Kumbe Burundi ni mtoto wa Tanzania nilikuwa sijui .Kabavamo Asante sana mkuu. Nimeona Murutongore aka Koba aka Mchambawima wanavyo ishikia bango du. Tanzania haiwezi kusaliti mtoto wake Burundi kwa kumfurahisha jilani